Jinsi muonekano, sura na shape zilivyowaponza wengi na kupata wapenzi ambao wanakuja kujutia

Oct 29, 2020
93
150
Hi Wanajamii,

Kama title hapo unavyoiona kiukweli mimi pia ni muhanga wa hili jambo yaan kupagawa na muonekano wa pisi kali lkn baada ya kuingia ktk uhusiano kiukweli ni majutoo , vizinga kibao show mbovu , yaan unaaanza kujutaaa .. .

Niliwahi kuwa na manzi tena ni mtoto mkali, pisi imeenda shule , lakini kwa bed yaan ni utumboo utumboo tu , Demu mawenge kibao , mara cjui aseme sitakii mara nataka mara cjui nn yaan kiufupi ni miyayusho mitupuu

Hebu tu share experience yako ktk hili wana JF , Nini ulikitarajia lkn matokeo yakawa kinyume mpaka ukajua Huo uhusiano.

Uzi Huoooooooo


1620040367273.png

 

ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
4,114
2,000
Ukioa shape ni ku prove kwamba hata wewe ni mjinga .


Hivyo kupata changamoto kwenye mahusiano ni matokeo ya ujinga wako binafsi.

Wenye akili wote wanaoa mwanamke wa kawaida mwenye uelewa mzuri.Sasa wewe usiyejua shape zinapotea,sura inachoka,chuchu zinalala ndo utapata shidA.Kama unapenda vzr sio vyako peke yako hivyo,vyetu sote hata sisi tunavipenda hivyo hivyo mzee baba.

Ila kuoa halafu sio tu kuoa bali kuoa na ku maintain furaha yako hilo ni jambo jingine kbs.

Waelewa wanaelewa maumbile ya mwanamke yanabadilika sana hasa wake zetu wa kibantu hivyo lazima uwe na kitu cha ndani cha msingi sana chakujivunia kwa mwanamke wako.Hata ukikurupushwa kutoka usingizi ukiulizwa kwanini huwezi kumuacha mkeo basi utoe point za msingi tatu bila kujifikiria,wakati wenzako wanakonda kwa stress wewe unapunguza mwili....

Sijui nikupe kibao cha brian nhira cha would u stiil love me?kikupunguze wenge
 

Ajuza wa JF

Member
Mar 19, 2021
85
150
Wakati unavutiwa na pisi kali inayonukia unyunyu, inayosuka vizuri , inayovaa na kupendeza ulitegemea nini? usione vyaelea vimeundwa hivyo.

Mpe hela apendeze zaidi hayo mengine ya kunyanduana sema naye.
 

smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
2,537
2,000
Mfundishe km hujui na wewe pia bomu tu!
Km hawezi kukatikia kibamia chako! ni kosa lako kila akichanganya mauno kibamia kuleee!!

Sasa afanye nini binti wa watu?? subiri wenzako waje kutafuna kiulaini.

Km ungekuwa si kibamia ungemtengeneza tu unavotaka unalia kwa jambo jepesi hivi bila aibu????
 

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
3,256
2,000
Bana eeh.. we pambana na pisi kali yako tu hakuna namna. Hapa kila mtu anapambana na hali yake. Kuna waliooa maguluguja lakini nayo ni pasua kichwa balaa! Usifikiri kila guluguja lina akili, mengine ni mabomu tuu. Sasa pata picha una guluguja halafu bado maeneo mengine sifuri, hizo stress zake nibalaa. Bora wewe una pisi kali utajifariji kwamba pamoja na yote lakini walau pisi inahamasisha!
 

smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
2,537
2,000
Hi Wanajamii,

Kama title hapo unavyoiona kiukweli mimi pia ni muhanga wa hili jambo yaan kupagawa na muonekano wa pisi kali lkn baada ya kuingia ktk uhusiano kiukweli ni majutoo , vizinga kibao show mbovu , yaan unaaanza kujutaaa .. .

Niliwahi kuwa na manzi tena ni mtoto mkali, pisi imeenda shule , lakini kwa bed yaan ni utumboo utumboo tu , Demu mawenge kibao , mara cjui aseme sitakii mara nataka mara cjui nn yaan kiufupi ni miyayusho mitupuu

Hebu tu share experience yako ktk hili wana JF , Nini ulikitarajia lkn matokeo yakawa kinyume mpaka ukajua Huo uhusiano.

Uzi Huoooooooo
Wewe ndo tatizo!! mfu lkn hujijui achilia mbali kujitambua. Hufai. siyo kidume wewe!

Hata km hajui kuzungusha!! zungusha wewe aone utamuuu. Mpaka apagawe!! Huu utamfanya awe mke bora.

Wewe si mzima hasa mlete huku watu wa kufundishie bure tu uone!
Lkn Sharti uleee mtoto mmoja bure!

fuata kilicho kupeleka kwenye uhusiano huo.hayo mengine yanatoka wapi?? Dume zima unashindwa vumilia? Mfundishe wewe!! La sivyo watakufundishia au achia ngazi!!!!

akienda!! kimya ujue na yeye anakuona ivo ivo!km mzigo

Akianza swaga oooh! Umenipotezea muda wangu.mara oooh! Nipe mtaji.mara oooh! Kesho! Ujue wewe mtamu na haondoki kamwe piga ua!

Labda umtoroke kimya kimya tena uache kila kitu!!
Bila hivo hatokiiii! Usicheze na mboo tamu wewe mtoto!!

Labda karogwa je? Au
ka panic au
hajakuzoea

unapaswa umsaidie unavotaka awe!!

Rudia tena na tena kufundisha si umempendaa??!
Ulizia kwa waganga.makungwi au mkodishe kwa siri kwa me wanaotunza siri yako kma tata nyarusare

hata humu wamo! Atakufundishia mpaka utafurahi usione aibu.Waalimu wa mapenzi wapo sana tu! Usione wenzako wanaoa na amani wamefundwa na watu km hawa.usirushe ngumi tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom