lauzi96
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 422
- 797
Mimi katika maisha yangu nilishaapa sitooa mwanamke mwenye mtoto sababu ninajua mahawala hawaachani tena kama wamezaa ndio huwezi kuzuia kwa kisingizio matunzo ya mtoto kumbe jamaa anakumbushia.
Sasa mwezi wa 3 nimeoa ila huyo msichana mama yangu alikuwa hamtaki hata kumsikia, baada ya kukomaa mama akaniruhusu.
Nimemuoa na ndani ya miezi mitatu kwenye ndoa nimegundua ana watoto wawili ila mimi bado sijachukua uamuzi.
Ninaomba ushauri wenu, nimpe talaka aende kwao maana hii harusi hakuna aliyeitaka kwenye familia yangu mimi nimelazimisha tu na bora angeniambia kabla.