Mwanamke mwenye Tattoo!

Mwanamke mwenye Tattoo!

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,728
Reaction score
4,181
Jamani wanajf katika harakati zangu za kupunguza uiringa na kuingiza udar kiasi kichwani nkaenda kwenye bar ya kitambaa cheupe Sinza pale nilichoona ni hatari wanawake wamejichora Tattoo miilini wanavuta zile sigara za umeme na kutolea moshi mdomoni Kama garimoshi asa leo ngoja nianze na Tattoo lile la moshi siku nyingine mi nmeshangaa watu wanawashobokea wale.

Hamna kitu kibaya kwa mwanamke Kama tatoo ukitaka kuishi maisha yenye amani bila mikosi epuka wanawake wenye Tattoo kwanza Kama umegundua wanawake wenye Tattoo ni jeuri sana kwa wanaume wengi hawana baba zao na wamekulia familia zenye mmomonyoko wa hali ya juu wa maadili.

Mwanamke anayetoboa au kuchorachora ngozi yake hana thamani ya uanamke tena anakuwa na muonekano wa ovyo wa mwili hadi roho.

Pia wanawake hawa hawawezi kuheshimu tendo la ndoa washa jaribu differents type of dick, dickson and dickhead wamejaribu kulala hadi na wanawake wenzao na kununua zile dildo ili wakidhi haja zao za kingono yaani Ukilala na mwanamke wa hivi kuna asilimia nyingi sana za wewe kupata ghonorea kwanza we ushaona wapi gari la kifahari limechorwachorwa au vyoo vya ofisi muhimu vimechorwachorwa zaidi ya vyoo vya vilabu vya pombe za kienyeji na sehemu nyingine za ovyo ovyo..

Halafu siri nyingine nawapa asilimia 87 ya wanawake wenye Tattoo tayari washatoa mimba na wanachukia kubeba mimba.
We jifikirie janamke linaanza kutoboa pua na ulimi na kujichora hayo matattoo huyo hata akili yake iko sawa kweli?
Ukijiingiza kwenye mahusiano naye mizigo na stress zake za kihisia atakubebesha wewe nakuapia hautokuwa na amani maishani mwako.

We unadhani mwanamke bila kuwa mwendawazimu anaweza kumuonyesha mwanaume asiyemjua kiuno, mapaja au matiti yaliyochorwa picha za vipepeo, kwato, maua au mipicha isiyoeleweka?.

Huyo ni mwanamke wa ovyo na hajitambui hivyo anadhani Tattoo zitaficha ubaya wake kuwa mvuto! Wanatembea na matatizo na mikosi jumlisha stress na wamejiandaa kumuangushi hilo zigo mwanaume yeyote asiyejitambua akaenda kushoboka.
Kama unahisi mi najitungia hapa jichanganye ukamuoe yule ujionee!

Chumbani linapiga kelele hilo unakuta maana lishaharibika kisaikolojia zile sauti za mahaba na kelele anailazimisha nafsi yake ipate hisia za tendo atakuhamasisha hata umlambe K ili umbust hisia zake yaani Kama betri halina chaji jiepushe nae atakulazimisha hata umtie kidole nyuma ndio umbust
Ukiona Tattoo kimbia tena kuwa makini mno
 
Mi ndo nawazimia kichiz yan,kwanza mademu wastaarabu mi huwa siwafagilii...mi nawakubali bad gals,yan hapo ningekuwa mimi chap ningetafuta benk ilipo ningevuta kama mia mbil hivi Ile griiiiiiiiii halafu ningerudi hapo kati kufanya yangu
 
Mi ndo nawazimia kichiz yan,kwanza mademu wastaarabu mi huwa siwafagilii...mi nawakubali bad gals,yan hapo ningekuwa mimi chap ningetafuta benk ilipo ningevuta kama mia mbil hivi Ile griiiiiiiiii halafu ningerudi hapo kati kufanya yangu
Aisee wewe kama mimi.
Huyo mleta uzi atakua ni mchipolopolo
 
Unachukia kirahisi sana,,,kwa mambo ambayo hayakuhusu!! alafu kwa Kijana wa kiume haipendezi kuchukia kwa mambo wanayofanya watoto wa kike,,,,Fanya yanayo kuhusu zaidi achana na maisha ya watu,mjini hapa!!!nenda kakae kanisani upate masista achana na mambo ya kitambaa cheupe!!
 
Binadamu yeyote anayekataa asili yake kiuumbwaji na kuweka madoido mbali mbali mwilini huwa namhurumia tu maana kiufupi hajitambui.
 
Bila picha?

 
Sijasoma yote ila nachokumbuka kwenye kikao Cha UWABATA Cha Juni 26 mwaka Jana chini ya katibu wa kanda ya mashariki bwana mzabzab kilichofanyika ubungo plaza tulikubaliana kwa wanawake wenye tattoo TUVAE KONDOMU 4 au zaidi
🤣🤣🤣🤣🤣
 
846b7895-1b1a-4ad4-8c5e-0811ab2ebc16.jpg
 
Ila mwanamke mwenye tattoo ananitia nyege sana..

N.B. Kondomu lazima uvae nne...
Save you semen
Mi ndo nawazimia kichiz yan,kwanza mademu wastaarabu mi huwa siwafagilii...mi nawakubali bad gals,yan hapo ningekuwa mimi chap ningetafuta benk ilipo ningevuta kama mia mbil hivi Ile griiiiiiiiii halafu ningerudi hapo kati kufanya yangu

Ila mwanamke mwenye tattoo ananitia nyege sana..

N.B. Kondomu lazima uvae nne....
Change Or perish
 
Back
Top Bottom