paul miteda
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 131
- 592
kunasiku nilileta mada hapa kuomba ushauri kuwa wife ananinyima unyumba kila kazi zangu za ujenzi zinapo pungua huwa nakosa hela basi hapo hutokea masimango ugomvi mpaka kunyimwa unyumba.
Niliamua kukaa kimya nilitamani hata kufa kumbe hawa wanawake ni viumbe dhaifu sana sikumgusa miezi 4 nikawa siriazi mpaka nikazoea nalala naye hata husia zikapotea kabisa.
Toka wiki hii imeanza ananisumbua mara anishike uume lakini nakaza sasa hapa nawaza nimpatie au niendelee kukaza?