Wanawake acheni kuturoga jamani...

Wanawake acheni kuturoga jamani...

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
1,583
Reaction score
2,702
Kusema kweli nyie viumbe mnaoitwa wanawake mna tabia mbaya Sana.
Mwanaume anaamua kukuoa baada ya kufanya mchujo uliotukuka, na wewe ndo unakuwa mwanamke bora Kati ya wanawake wote.

Cha ajabu Sana tena unaacha kuridhika na mapenzi ninayokupa unaamua bila Sababu za msingi uniroge tu...

Naona isiwe tabu baada ya kunisumbua vya kutosha naamua tena kutafuta mchepuko dizaini hii

bf5a8e91297d2e99acfc883d2ff9d734.jpg


Ili unifariji, najikuta tena na huo mchepuko nao unaniroga, naamua kuwa sipo tayari kuitelekeza familia yangu Kwa Sababu ya mchepuko tu narudi Kwa mke wangu na kuendeleza mapenzi najikuta tena Mke wangu hana muda na mimi, naamua kumnunulia mavazi ya mvuto ili kumpendezesha ili awe hivi Tunapokuwa sirini lakini bado mke wangu hanielewi tu.

Sasa natafuta tena mchepuko mwingine ili niifariji akili yangu na wakati mgumu wa maisha haya, mchepuko nao haunijali zaidi ya pesa zangu tu.
Duh... Kila nikivuta picha mchepuko wangu mpya unavyovutia mara baada ya kuvua Nazidi kupagawa jamani.

Kila kona narogwa tu na mapenzi ndo hakuna hadi niwe na pesa.
Wanawake nyie jamani mmekuwa chanzo kikubwa Sana cha mateso ya maisha yetu wanaume, hamridhiki mnawaza kuturoga tu, hampendeki.

Wanaume wengi waliochanganyikiwa na maisha chanzo ni nyie tu, hebu tuacheni tupumue na sisi bana... alaaah...!
 
Kusema kweli nyie viumbe mnaoitwa wanawake mna tabia mbaya Sana.
Mwanaume anaamua kukuoa baada ya kufanya mchujo uliotukuka, na wewe ndo unakuwa mwanamke bora Kati ya wanawake wote.
Cha ajabu Sana tena unaacha kuridhika na mapenzi ninayokupa unaamua bila Sababu za msingi uniroge tu...
Naona isiwe tabu baada ya kunisumbua vya kutosha naamua tena kutafuta mchepuko dizaini hii
bf5a8e91297d2e99acfc883d2ff9d734.jpg
ili unifariji, najikuta tena na huo mchepuko nao unaniroga, naamua kuwa sipo tayari kuitelekeza familia yangu Kwa Sababu ya mchepuko tu narudi Kwa mke wangu na kuendeleza mapenzi najikuta tena Mke wangu hana muda na mimi, naamua kumnunulia mavazi ya mvuto ili kumpendezesha ili awe hivi
03a6f1e27efd3ce89ac2405f4bc5c176.jpg
Tunapokuwa sirini lakini bado mke wangu hanielewi tu.
Sasa natafuta tena mchepuko mwingine ili niifariji akili yangu na wakati mgumu wa maisha haya, mchepuko nao haunijali zaidi ya pesa zangu tu.
Duh... Kila nikivuta picha mchepuko wangu mpya unavyovutia mara baada ya kuvua
e3e41b184bd4dbe0ba9e1d8f6c33e306.jpg
Nazidi kupagawa jamani.
Kila kona narogwa tu na mapenzi ndo hakuna hadi niwe na pesa.
Wanawake nyie jamani mmekuwa chanzo kikubwa Sana cha mateso ya maisha yetu wanaume, hamridhiki mnawaza kuturoga tu, hampendeki.
Wanaume wengi waliochanganyikiwa na maisha chanzo ni nyie tu, hebu tuacheni tupumue na sisi bana... alaaah...!
jamii forums mmelala
 
Ciprofloxacin. Wao kwa wao tu wanarogana balaa

Unakuta mtu anaiba chupi la mwenzie, analisafirisha mpaka tanga kwenda kuroga
 
Ah ah ah ah ah nimecheka title kabla cjaingia ndan kusoma.

Pole uhiii..
Kuna siku niliwaambia mabint kuwa nikipita mitaani nakuta mabandiko ya waganga mivuto ya mapenz. Kuvuta cjui nini

Yan mabandiko mengi sana , ina maana kuna wateja wapo wanao enda

Kwahiyo wakat mwngine usilaumu mume katoka nje wengi mjini wanavutwa na dawa na utakuta hasikii chochote

Hapo kuna mawil uende kwa hao waganga au ukimbilie kwa Mungu
Na kama kwa Mungu wetu jitahid uombe ipasavyo sio unaomba dkk 5 unatulia

Na wakat wenzio wanaenda masaa zaid ya 6 tena kila siku akimnasa kurud ujue kuomba vzr kwa Mungu


Na ukienda kwa waganga tegemea kupotea kabisa sababu utakuwa mtumwa asiye na faida kila siku utaishia kujiloga mwenyewe

## watu wengi siku hiz wana nasa waume kwa kutumia dawa hicho kitu kipo sana.

Mm nakutia wazimu ukijaribu kwa kuomba tu wala si kwa kingine
Usimuache mwanamke mchaw kuishi yan sitokuacha hiv hiv pona yako ukimbilie kwa Mungu hiv hiv nitasal kwa hasira nikuondoe

Na hivi naambiwa mm ni mlinzi. nitamlinda mume uhii nitalinda kwa maombi na sio kwa kumfuata nyuma kama mkia
 
Ciprofloxacin. Wao kwa wao tu wanarogana balaa

Unakuta mtu anaiba chupi la mwenzie, analisafirisha mpaka tanga kwenda kuroga
Yan wengine wanalishwa mpka damu za mp bila kujua

Mtulie na ndoa zenu wanaume. Aisee dunia sio salama kabisa
 
hawa viumbe sijui tumewakosea nini ?
Yani kimbilio lao ni kwa sangoma na wanapishana balaa huko.

Ndio maana familia nyingi wanaume wanatanguli mbele za haki.
 
hawa viumbe sijui tumewakosea nini ?
Yani kimbilio lao ni kwa sangoma na wanapishana balaa huko.

Ndio maana familia nyingi wanaume wanatanguli mbele za haki.
Hamjawakosea tatizo wanawapenda sana!
 
wanaume mko kwenye wakati mgumu sana kwa sasa, hasa wale vicheche, mkeo ana dawa yake from mganga A anaitumia kwako, mchepuko chausiku nae ana dawa yake from mganga B anaitumia kwako, mchepuko chaupele nae ana dawa yake from mganga C anaitumia kwako, etc zote anafanyiwa mwanaume mmoja tehe tehe tehe tehe alafu unashangaa eti mbona na wewe unaumwa tumbo kama unataka kuingia siku zako, kumbe side effects za madawa
 
hawa viumbe sijui tumewakosea nini ?
Yani kimbilio lao ni kwa sangoma na wanapishana balaa huko.
Ndio maana familia nyingi wanaume wanatanguli mbele za haki.
hamna mwanamke anayefurahia ku share mwanaume so kama mkeo ni wicked lazima tu akuendee kwa sangoma, labda mngekuwa mnatulia na mlionao msingepatwa na hayo
 
Duhhhhhh kazi kweli kweli.

Kumbe ndoa ni AJIRA watu wanakwenda mpaka kwa waganga!?

Kila Mara natoa NASAHA, UMASKINI mbaya. Mwanamke mwanamke kweli, mwenye juhudi katika maisha ya utafutaji hana Muda huo. Labda aende kwa mganga kunyoosha "nyota" ya utafutaji.
 
Ni hatari sana na waume zetu hamna utulivu kabisa mnabeba vitu vya ajabu nje mnaleta ndani ukikuta mke nae ndio walewale basi lazima nyumba ipinduke,sio kwenye ndoa tu hadi kutafuta ndoa watu wanaroga sana una wanawake sita hujui uoe yupi humohumo wapo wanaokuroga hahahaaaa lazima akili ipate moto
 
Back
Top Bottom