wanaume mnaojiamini kuwa mnapendwa kweli na wapenzi wenu pitieni hapa

nyaggad

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,160
692
Kheri ya mwaka mpya wadau!

Mara nyingi kila nikipita humu nakutana na thread nyingi zenye kulalamikia wanawake baadhi ya matendo yao mabaya wanayotufanyia wanaume,kwa mfano unakuta mwanaume umewekeza sana vitu vingi kwa mwanamke ikiwemo pesa n.k,lakini baadae unakuja kuachwa utafikiri hakuna jema lolote hujawahi kumfanyia au unakuja kungundua wewe unawekeza pesa nyingi kwake na uko serious nae na wakati huo kumbe kuna sharobaro kana kula mzigo bila kutoa hata mia.

sasa leo nataka nijue humu,je kuna wanaume wenzagu humu ambao wana wanawake wanawaopenda na wanajiamini hata wanaweza kusimama mbele za watu wakasema kwa mfano "kusema kweli mke wangu ananipenda sana nashukuru na najivunia kuwa nae",kama wapo wanume wanaopendwa hivyo na wapenzi wao naomba wa comment humu,watoe hisia za o za kujivunia kupendwa na wapenzi wao na ni kwa namna gani wana liamini hilo,

Binafsi siwaamini wanawake hata kidogo,kusema kweli wanawake wengi siku hizi sio waaminifu ila ikitokea ukapata mwanamke mwenye upendo wa kweli,na kuhakikishia uaminifu na upendo atakao kupa ni kama wa Malaika,sasa wanawake wa aina hiyo anapatikana Mwanamke mmoja kati ya Millioni Moja,sasa leo nataka nijue wanaume waliobahatika kupata hao wanawake ambao ni mmoja kati ya Millioni.
 
Kuna chama kimoja cha siasa husema HAKI SAWA KWA WOTE.
Tuwe wakweli hapa unaweza kupendwa na mwanamke 100% ukaishia kumuona bwege, na ukaanza kumsaliti na kugegeda wanawake wengine. Kimbembe Siku akijua umemsaliti na yeye anakusaliti hapo ndio utaona wanawake wabaya. Huku ukisahau wewe ndie ulie anza kusaliti.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mkuu Mimi Binafsi Ninae.

Ingawa haikuwa rahisi kumuamini mwanzo ila hatimaye nimeamini ananipenda.

Tunachokosea Wanaume Wengi ni kuchezea hisia za
wanawake wanaotupenda. Mwanamke akianza kupenda huwa anapenda moja kwa moja ila mwanaume huanza kwa kutamani na hatimaye huja kupenda au laah!

Mioyo ya wanawake ni dhaifu mno, Kama ikatokea ukamtenda sana akaja kujua na kuumia ni vigumu mnoo kusahau.
 
sawa mkuu.
 
Hongera sana mkuu kwa kupata mwanamke anaekupenda
 
Kheri ya mwaka mpya wadau!

Mara nyingi kila nikipita humu nakutana na thread nyingi zenye kulalamikia wanawake baadhi ya matendo yao mabaya wanayotufanyia wanaume,kwa mfano unakuta mwanaume umewekeza sana vitu vingi kwa mwanamke ikiwemo pesa n.k,lakini baadae unakuja kuachwa utafikiri hakuna jema lolote hujawahi kumfanyia au unakuja kungundua wewe unawekeza pesa nyingi kwake na uko serious nae na wakati huo kumbe kuna sharobaro kana kula mzigo bila kutoa hata mia.

sasa leo nataka nijue humu,je kuna wanaume wenzagu humu ambao wana wanawake wanawaopenda na wanajiamini hata wanaweza kusimama mbele za watu wakasema kwa mfano "kusema kweli mke wangu ananipenda sana nashukuru na najivunia kuwa nae",kama wapo wanume wanaopendwa hivyo na wapenzi wao naomba wa comment humu,watoe hisia za o za kujivunia kupendwa na wapenzi wao na ni kwa namna gani wana liamini hilo,

Binafsi siwaamini wanawake hata kidogo,kusema kweli wanawake wengi siku hizi sio waaminifu ila ikitokea ukapata mwanamke mwenye upendo wa kweli,na kuhakikishia uaminifu na upendo atakao kupa ni kama wa Malaika,sasa wanawake wa aina hiyo anapatikana Mwanamke mmoja kati ya Millioni Moja,sasa leo nataka nijue wanaume waliobahatika kupata hao wanawake ambao ni mmoja kati ya Millioni.
Yaani wewe insecurity zako unataka kubebesha wengine. Si wanaume wote wako kama ww.
Kujiamini ni nguzo imara.. ukiwa unamshuku mwenzio vibaya kila wakati.. basi huta enjoy mapenz yenyewe.
Sualala uaminifu unalijenga ww mwenyewe...

ila lazima uwe tayari kwa lolote. Kinachokuua si kumuamini mwanamke.. ila matarajio.

Be wise man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna chama kimoja cha siasa husema HAKI SAWA KWA WOTE.
Tuwe wakweli hapa unaweza kupendwa na mwanamke 100% ukaishia kumuona bwege, na ukaanza kumsaliti na kugegeda wanawake wengine. Kimbembe Siku akijua umemsaliti na yeye anakusaliti hapo ndio utaona wanawake wabaya. Huku ukisahau wewe ndie ulie anza kusaliti.

Ndukiiiii ‍♂️‍♂️‍♂️
Mwanaume hawi msaliti unaharibu tasisi ya kiume
 
Back
Top Bottom