Habar wakuu bila poteza muda ngja niende direct kwa mada hasa kwa wale wadau wa kununua papuchi mitaa ya lacharz. Jana jamaa yangu yaliyo mkuta hana hamu tena ya kununua malaya.
Jana mida ya sa3...
Wakuu
Nakumbuka Ile December
siku ambayo kesho yake ni xmass,
ndo siku Aliingia period Kwa mwezi huo.
Kisha Kaja kuingia Tena period mwezi January tar 20
Baada ya hapo kaingia Tena period...
Nimeikuta hii mahala!
Ni kwanini ipo hivi!!? Au ni kwasababu kuna nadharia kua mwanaume ndio anatangulia[emoji848]
Au wanawake hawana mali za kuandikia mirathi!!?
===
Ameandika Yericko Nyerere...
Ni kama miezi miwili sasa nlikutana naye Bank fulani town nikiwa naenda weka mkwanja. Akashoboka. Basi mi mlume ndago nikasema hamna noma kama vipi tuunge.
Basi ikawa hivyo. Sasa ana ushamba wa...
Habari za jioni wazee wenzangu,
Kwa wale wakongwe kwenye mahusiano, umeshawahi kugundua kuwa siku mkeo akiangalia tamthilia (hasa kabla ya kulala), halafu ikatokea amevutiwa sana na actor wa hiyo...
Hii inawahusu wanaume waliooa ila hawapendi kuwatoa out wake zao.
Mtoe out mkeo, ni mwanamke mzuri ambaye alihatarisha maisha yake ili kukupatia watoto.
Anakuhudumia chakula kitamu kila siku...
Huyu kala pesa zangu nyingi lakini hataki kutoa mzigo. Alinipa mara Moja tu Tena baada ya kulazimisha. Najitahid niachane nae lakini nafsi inagoma. Kibaya zaidi tumepanga ghorofa Moja. Akiniona...
Nipokeeni ndugu zangu
1: Sifa awe miaka 18-27
2:Mkristo
3:Mwenye heshima na utii wa kweli
4:Asiwe na mtoto wala asiwe amewahi kutoa mimba
5:Asiwe ametoboa pua, kitovu au masikio zaidi ya mara...
Natamani ningetumia muda mwingi zaidi pamoja naye. Natamani ningekua namsikiliza na kuongea naye. Natamani ningemtongoza mapema kabla jamaa hajamchukua. Saivi yupo na bwana mwingine. Hiyo ni...
Ndugu zangu habari za Jumatatu, nawasalim.
Mimi na mke wangu tumebahatika kupata watoto wawili kwenye ndoa yetu yenye miaka nane. Sisi wote ni waajiriwa, kwa muda mrefu, nimekuwa nikijiuliza...
Baada ya kipindi kirefu leo nimechanwa makavu kuwa its done.
NB: Sina kosa, ila ni ujobles na kibunda hakisomi. Kila siku kuna mishe nasikilizia na ni kweli kuna mishe naisikilizia huu mwaka...
Tuanze na mwanzilishi wa neno "mbususu" sijui aliwaza nini. Linafanania na mahala husika. Wanawake walitambue hili
Twende kwenye hoja. Huyu rafiki hana cha maana cha ku-share na wenzie tofauti na...
Habari za sasa wakuu.
Nikutanapo na wawili( Me na Ke) wako kwenye mahaba au mapenzi motomoto, napata wivu mkubwa sana.
Wakati mwingine hadi hasira huwa zinanikaba( Hasira za kujiuliza kwanini...
Habari za wakati huu ndugu zangu, mmi ni kijana mwenye 27yrs nmekuja hapa nina changamoto moja ninaomba msaada wa kimawazo au solution ikibidi, ipo hivi;
Mwaka 2020 nlikutana na manzi mmoja ambae...
Wasalaam; hii ilitokea,
Nakumbuka miaka ile, tukiwa tumehitimu kidato cha sita, mtaani kwetu tulikuwa vijana 6 ambao tulikuwa tumehitimu elimu ya sekondari.
Miaka ile utaratibu wa kujiunga na...
Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania.
Tumepitia kipindi kigumu sana,
nakumbuka nikiwa O level...
Wakubwa;shikamoo
Wadogo;marhaba
Niende kwenye mada,
Ugomvi,migogoro ni sehemu ya maisha yetu wanadamu, yani hii changamoto haiwezi kukwepeka kwenye maisha yetu, je unaweza kukabiliana vipi...
Habari za humu! Najua Kila mtu ana mtazamo wake hivyo tunaleta hoja Ili kijadilo mwishoni tujifunze kitu. Katika pita pita za maisha nimejadilibu kuangalia baadhi ya sample za ndoa za watu...
Wakuu mmebarikiwa sana.
Leo taeleza upande mwingine kuhusu mama yangu na ma mdogo na ndugu wa mzee kisha mtaunganisha na ule uzi mwingne wa kwanza maana pengne kuna watu humu wanakurupuka...
Habari jf
Moja kwa Moja nije kwenye mada yangu. Nina ishi na huyu mwanamke tangu 2020 na tumejaaliwa kupata mtoto Mmoja japo hatujafunga ndoa lakini nililipia mahari
Amekuwa na wivu sana kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.