Ushauri: Kila nikikumbuka kilichotokea nyuma napata uoga na kushindwa kufanya chochote

Ntikwite

Member
May 13, 2017
93
52
Habari za wakati huu ndugu zangu, mmi ni kijana mwenye 27yrs nmekuja hapa nina changamoto moja ninaomba msaada wa kimawazo au solution ikibidi, ipo hivi;

Mwaka 2020 nlikutana na manzi mmoja ambae alikuwa ni mzuri kiukweli, alinizidi kila kitu isipo kuwa pumzi tu na umri. Nilimtongoza na akaingia line, shida ikaja kwangu kuwa nilikuwa sijawahi kutoka na mwanamke alienizidi title so alipo fungua moyo kunitunuku tunda mimi nikawa na uoga moyoni kuwa nitawezaje na nitamuanzaje mtu anae nizidi kila kitu?

Basi siku hiyo tumeenda eneo la tukio nikaanza kumuandaa freshi kabisa kwa ajili ya kuitafuna mbususu, nilivyomuandaa na kujiridhisha kuwa amekolea ikawa ni wakati wangu wa kuzamisha nanga ziwani. Sasa wakati nataka kuzamisha nanga uliniijia uoga wa ajabu, moyo ukaanza kwenda mbio na speed ya kuhema ikaongezeka. Basi mzee baba huku chini akalala kabisa hakuamka tena na hapa ndio tatizo langu lilipo anzia.

Nilivorudi huku kwenye mechi za mchangani kwenye level zangu nikajikuta napaform vizuri kabisa bila shida yoyote, ila shida inakuja tu pale nikikumbuka lile tukio basi uoga unakuja na moyo unaanza kwenda mbio na jamaa analala kabisa na naweza uza mechi kabisa au kushindwa kuendelea na mechi.

Nifanyaje hapa ili niweze kuifuta ile bad memory ya tukio la kwanza la 2020 ambalo limeniathiri ki saikolojia? Maana mpaka sasa hata kama nipo na pisi room hata kama tupo kipindi cha kwanza cha mchezo nikikumbuka tu ile basi shida inaanzia hapo na ikitokea hivyo napoteza hisia za mapenzi hata wiki nzima sababu of stress.

Nifanyaje jamani, mimi bado kijana! Karibuni kwa maoni wadau, nilipowakosea mnisamehe mimi siyo mwenyeji sanaa humu. Asanteni
 
Wanawake wengi wa mjini haswa wenye pesa si salama na hata wabunge na viongozi hawafai kabisa kuliwa bila kuvaa condomu kumi kumi.
 
Relax mzee anza kuchukulia huyo manzi kama mademu wengine tuu mbona simple tuu mkulungwaaaaa,tatizo una underfia pisi kali,sio unyama mzee
 
Habari za wakati huu ndugu zangu, mmi ni kijana mwenye 27yrs nmekuja hapa nina changamoto moja ninaomba msaada wa kimawazo au solution ikibidi, ipo hivi;

Mwaka 2020 nlikutana na manzi mmoja ambae alikuwa ni mzuri kiukweli, alinizidi kila kitu isipo kuwa pumzi tu na umri. Nilimtongoza na akaingia line, shida ikaja kwangu kuwa nilikuwa sijawahi kutoka na mwanamke alienizidi title so alipo fungua moyo kunitunuku tunda mimi nikawa na uoga moyoni kuwa nitawezaje na nitamuanzaje mtu anae nizidi kila kitu?

Basi siku hiyo tumeenda eneo la tukio nikaanza kumuandaa freshi kabisa kwa ajili ya kuitafuna mbususu, nilivyomuandaa na kujiridhisha kuwa amekolea ikawa ni wakati wangu wa kuzamisha nanga ziwani. Sasa wakati nataka kuzamisha nanga uliniijia uoga wa ajabu, moyo ukaanza kwenda mbio na speed ya kuhema ikaongezeka. Basi mzee baba huku chini akalala kabisa hakuamka tena na hapa ndio tatizo langu lilipo anzia.

Nilivorudi huku kwenye mechi za mchangani kwenye level zangu nikajikuta napaform vizuri kabisa bila shida yoyote, ila shida inakuja tu pale nikikumbuka lile tukio basi uoga unakuja na moyo unaanza kwenda mbio na jamaa analala kabisa na naweza uza mechi kabisa au kushindwa kuendelea na mechi.

Nifanyaje hapa ili niweze kuifuta ile bad memory ya tukio la kwanza la 2020 ambalo limeniathiri ki saikolojia? Maana mpaka sasa hata kama nipo na pisi room hata kama tupo kipindi cha kwanza cha mchezo nikikumbuka tu ile basi shida inaanzia hapo na ikitokea hivyo napoteza hisia za mapenzi hata wiki nzima sababu of stress.

Nifanyaje jamani, mimi bado kijana! Karibuni kwa maoni wadau, nilipowakosea mnisamehe mimi siyo mwenyeji sanaa humu. Asanteni
Hiyo pisi kali ilisemaje baada ya mkwaju kulala?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom