southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 906
- 1,109
Baada ya kipindi kirefu leo nimechanwa makavu kuwa its done.
NB: Sina kosa, ila ni ujobles na kibunda hakisomi. Kila siku kuna mishe nasikilizia na ni kweli kuna mishe naisikilizia huu mwaka haupiti. Ila amechoka kuvumilia na mimi, nimekubali nitafanyaje sasa. [emoji2357]
Nakaribisha pole zenu Wakuu.