Kuna siku nilikuwa mkoa mmoja huko kaskazini; kama kawaida yangu, huwa nikijisikia kuchoka choka huwa napenda kwenda maeneo kupata moja mbili tatu za baridi.
Nikiwa katika harakati za kukata kiu...
Wanajamvi niaje?
Bana bana kwenye harakati za huku na kule si ikanikuta crush na manzi white ya ki shua, mtoto ana drive vanguard. Mitaa ya Kijitoyama anatoka kwenye packing nikajitolea...
Salam wana JF,
Mapenzi pasipo kuwa na muda wa kucheka pamoja, kuongea kwa pamoja na kufurahia mahaba kwa pamoja ni sawa na jela ya kujitakia mwenyewe.
Hamna mapenzi bIla mahaba. Cha ajabu kuna...
Sio mtaalamu sana wa kiingereza, lakini kama nipo hai sasa hivi ni kwa sababu naona hamna mtu atakaelea huyu kiumbe niliemleta Duniani.
Kwa huzuni, majukumu na uchungu niliyobeba ningeweza...
Hiki kilikuwa kipindi kigumu sana katika maisha yangu. Nlikonda ghafla, nikawa na mawazo wakati wote na nikawa nashawishika kunywa sumu. Nliona hiyo ndo ilikuwa njia rahisi pia kuniondolea mawazo...
KUMEKUCHA KUMEKUCHA
MJE MTOE USHAURI
Jamani naombeni ushahuri hapa nipo nimevurugwa ata sijui nachomokaje kwenye hili!
Iko hivi mimi nimeolewa na tuko fresh tu na mume ananipenda na...
Ni wakati mgumu sana, kila ninapomkumbuka mwanangu. Ni wakati mgumu kila ninapopata hisia kwamba naweza kuharibu ndoa yangu. Ni huzuni pia moyoni nikiwaza kuwa naweza kuharibu Ndoa yake...
Kwa nilivyokereka hakuna salamu hapa!
Baada ya kumfatilia kwa wiki kadhaa akaingia line, toto fulani hivi nyeupe ndefu yenye kiuno nyigu, tunasema figure ya kimataifa. Figure ambayo hata tozo...
Huwa nachoshwa sana na watu wanaotaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano lakini cha kwanza wanaangalia Kabila la mtu kwa kuamini kabisa kuwa kabila Fulani Wana tabia hizi na hizi.
Bila kupepesa...
Kuna mwanamke nimeanza date nae kama mwezi mmoja, sasa first time niliomba mzigo akazingua na kusema bado tupeane muda. Mie nikachukulia poa tu sio mbaya, ikapita kama mwezi kutoka na ubize wa...
Habarini wadau.
Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila...
Lakini kuna watu bado wanapata hamu ya kusex kipindi hiki cha huzuni.😢kama kweli mmefanya ivo inasikitisha sana mjue😭
Jikazeni jamani kuweni wavumilivu hizo nyapu zipo tu.
RIP Makamanda
Jamani wanaume mnatakiwa kupewa maua yenu mnajitoaga sana baadhi yenu na mkiamua kujitoa mnajitoa mpaka familia zenu amuwasikilizi kisa mapenzi asanteni kwa upendo wenu
Naombeni ushauri wenu. Demu anakula pesa zangu jinsi atakavyo. Ikifika wakati wa mimi sasa kumla anakuwa na masharti
Kuna styles hazitaki. Anasema hawezi fanya mapenzi kwa style hatarishi kwake...
Kuna binti mmoja ni mama lishe. Ni mdada mzuri sana, kama mnavyojua wadada wanaofanya hizi shughuli za umama lishe, tena ukiwa mzuri kuna kuwa na mtiririko wa wanaume kuomba namba kila mara.
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.