Kuweni makini sana na malaya wa Sinza pale!!

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,042
Habar wakuu bila poteza muda ngja niende direct kwa mada hasa kwa wale wadau wa kununua papuchi mitaa ya lacharz. Jana jamaa yangu yaliyo mkuta hana hamu tena ya kununua malaya.

Jana mida ya sa3 usiku aliopoa demu mkali sana mitaa hyo akaona so case wacha ampeleke 5N pale mliman akamnyweshe baada ya kutoka pale wakaenda lodge kwa ajil ya kutumia bidhaa aliyonunua.

Ananambia anakumbuka alikuw ameanza nae romance baada ya hapo hakumbuki tena ndo kushtuka anagongewa mlango muda umekwisha hku kaibiwa pesa kama 342k na simu.

Jaman wadau tuwe makin sana tunapoenda nunua bidhaaa pale la charz.
 
Back
Top Bottom