MaT2B
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 387
- 969
Habari za sasa wakuu.
Nikutanapo na wawili( Me na Ke) wako kwenye mahaba au mapenzi motomoto, napata wivu mkubwa sana.
Wakati mwingine hadi hasira huwa zinanikaba( Hasira za kujiuliza kwanini mimi sina?)
Ila ndio hivyo zinatulia, naishia kuwaonea gere.
Binafsi mimi sijawahi kuwa na kwenye mapenzi motomoto.
Nipo kila nikijaribu, sibahatiki. Sijui kuna mtu kaniroga, wadada siwapati.
Haiba yangu, mimi ni mkimya na mpole( introvert?).
Sina mambo mengi si mtu wa marafiki wengi.
Uvaaji wangu ni wa kawaida tuu( jeans, tshirt, shirts, laba n.k).
Kama kungekuwa na mtaalamu wa haya mambo ningelipa consultation fees.