dadapesa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 366
- 663
Wakubwa;shikamoo
Wadogo;marhaba
Niende kwenye mada,
Ugomvi,migogoro ni sehemu ya maisha yetu wanadamu, yani hii changamoto haiwezi kukwepeka kwenye maisha yetu, je unaweza kukabiliana vipi kipindi cha ugomvi,?
Ni sahihi wakati wa ugomvi kutumia silaha zinazoweza kupelekea kuhatarisha maisha? Huu ni ujinga wa mtu kushindwa kujidhibiti wakati wa hasira.
Kuna Dada ambaye ni mdogo wake na rafiki yangu, huyu msichana kaolewa na ndoa kabisa,
Jana ilitokea kutokuelewana na mumewe hali iliyopelekea kuchukua kisu kutaka kumchoma mwenzie yani ugomvi ulikuwa mkubwa mpaka ndugu walipokuja kusuluhisha.
Nimekaa nikajiuliza unawezaje kumshikia mwenzio silaa tena unaependana nae? Uaminifu baina yenu utaendelea ?