Ushahuri kuhusu mke wangu

genau

Member
Jan 11, 2018
36
54
Habari jf

Moja kwa Moja nije kwenye mada yangu. Nina ishi na huyu mwanamke tangu 2020 na tumejaaliwa kupata mtoto Mmoja japo hatujafunga ndoa lakini nililipia mahari

Amekuwa na wivu sana kuhusu Mimi lakini kwangu sio shida maana ilikuwa hainipi shida lakini baadae alianza hadi kutuma boda boda inifatilie kwenye mishe zangu kama ningukuwa nafanya mambo ya kihuni.

Mara kadhaa amekuwa akinishutumu na mahusiano na wafanyakazi wenzangu kazini ( yeye alimaliza chuo hajapata ajira) nikahisi labda Yuko loose nikaamua kumfungulia biashara

Imefika pahala alinitamkia Toka mdomoni make ya kwamba anamchukia mama yangu na ndugu zangu sababu sisi ni wa binafsi na hatumpendi sababu Huwa hawampigii simu mara kwa mara

Mwaka huu February niligundua kama simu yangu imedukuliwa ndo nikaenda kwa fundi nikagundua kama yeye ndo alifanya hivyo nikamwomba atoe lakini alibisha kuwa hajafanya.

Ukiachana na hayo yote Kila ugomvi ikitokea anadai anataka kuondoka lakini nikikubaliana na maamuzi yake anawapigia simu ndugu zangu na ndugu zake kwamba nataka kumfukuza so Huwa nashindwa kuelewa anataka nini. Yeye always ni vita juu ya wanawake wenzake japo kuwa hajawahi nifumania Wala kunikuta na mwanamke kwenye simu yangu.huwa anakisia anaponiona nawasiliana na mwanamke yeyote

Wiki iliyopita niliazika simu yake niwekee wi-fi kwenye tv ndipo ikaingia SMS ambayo ilinistua ikabdii nifuatilie nikaona ana mawasiliano ya kimapenzi nawanamme mwingine kwa muda mrefu ndipo nikaanza kuunganisha dots. Nimekuwa nikipata ugonjwa unaitwa herpes simplex kwa muda mrefu sana ikafika pahala Kila tukifanya mapenzi lazma nipake dawa huku yeye akinirushia maneno ya kwamba huu ugonjwa ninautoa nje namletea. Lakini nisipofanya mapenzi nilikuwa siupati nakuwa sawaaa kabisaaa. Ikafika pahala nikawa sipati hata hamu nae sababu ya kufu ya huu ugonjwa

Tangu nigundue sijamwuliza lolote lakini amejishtukia anahisi Kuna kitu nimegundua japo sipendi ajue kwa Sasa.
Mwenye uzoefu na changamoto kama hii anipe ushauri tafadhari
 
wahuni hua wanazani kila mtu muhuni.
huyo anakupenda ila anahisi tabia zake mbaya ambazo anafanyaga na wewe unafanya.

vipi wewe bado unataka kuishi nae?
mchane ukweli kuhusu huyo mchepuko wake mwambie unaju toka zamani na umwambie asikufatilie hovyohovyo..

ila ningekua mimi ningeshapiga chini kitambo hua sipendi mwanamke mjingamjinga kama huyo wako,
 
Kwamba mpaka amekuungisha na herpes - ambazo hazitibiki - na bado unakuja JF kuomba ushauri? Au pengine na wewe unaachepuka huko nje na huna uhakika kama ni wewe au yeye aliyemwambukiza mwenzie?

Unajua kuwa ukiwa na herpes inakuwa rahisi sana kwako kuambukizwa magonjwa mengine ya ngono yakiwemo UKIMWI, Gonorrhea na Syphilis; na kinga yako ya mwili ikitetereka tu hizo herpes zitakutesa sana?

Pole sana mkuu ila nadhani pengine nyote ni wazinzi mmekutana na mnajuana!

Screenshot_20230328_102327_Chrome.jpg
 
Habari jf
Moja kwa Moja nije kwenye mada yangu. Nina ishi na huyu mwanamke tangu 2020 na tumejaaliwa kupata mtoto Mmoja japo hatujafunga ndoa lakini nililipia mahari

Amekuwa na wivu sana kuhusu Mimi lakini kwangu sio shida maana ilikuwa hainipi shida lakini baadae alianza hadi kutuma boda boda inifatilie kwenye mishe zangu kama ningukuwa nafanya mambo ya kihuni.

Mara kadhaa amekuwa akinishutumu na mahusiano na wafanyakazi wenzangu kazini ( yeye alimaliza chuo hajapata ajira) nikahisi labda Yuko loose nikaamua kumfungulia biashara

Imefika pahala alinitamkia Toka mdomoni make ya kwamba anamchukia mama yangu na ndugu zangu sababu sisi ni wa binafsi na hatumpendi sababu Huwa hawampigii simu mara kwa mara

Mwaka huu February niligundua kama simu yangu imedukuliwa ndo nikaenda kwa fundi nikagundua kama yeye ndo alifanya hivyo nikamwomba atoe lakini alibisha kuwa hajafanya.

Ukiachana na hayo yote Kila ugomvi ikitokea anadai anataka kuondoka lakini nikikubaliana na maamuzi yake anawapigia simu ndugu zangu na ndugu zake kwamba nataka kumfukuza so Huwa nashindwa kuelewa anataka nini. Yeye always ni vita juu ya wanawake wenzake japo kuwa hajawahi nifumania Wala kunikuta na mwanamke kwenye simu yangu.huwa anakisia anaponiona nawasiliana na mwanamke yeyote

Wiki iliyopita niliazika simu yake niwekee wi-fi kwenye tv ndipo ikaingia SMS ambayo ilinistua ikabdii nifuatilie nikaona ana mawasiliano ya kimapenzi nawanamme mwingine kwa muda mrefu ndipo nikaanza kuunganisha dots. Nimekuwa nikipata ugonjwa unaitwa herpes simplex kwa muda mrefu sana ikafika pahala Kila tukifanya mapenzi lazma nipake dawa huku yeye akinirushia maneno ya kwamba huu ugonjwa ninautoa nje namletea. Lakini nisipofanya mapenzi nilikuwa siupati nakuwa sawaaa kabisaaa. Ikafika pahala nikawa sipati hata hamu nae sababu ya kufu ya huu ugonjwa

Tangu nigundue sijamwuliza lolote lakini amejishtukia anahisi Kuna kitu nimegundua japo sipendi ajue kwa Sasa.
Mwenye uzoefu na changamoto kama hii anipe ushauri tafadhar
Pole sana kaka, utakuwa unaishi na mtu wa kazi hadi anakudukua na kukufuatilia na boda boda. Kaza usimwachie nafasi ya kukupelekesha namna hiyo, hakikisha unamwambia ukweli wa yote uliyobaini kuhusu yeye ili ajue ukweli na uyo ni mchepukaji ndo mana anakufuatilia. "Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu"
 
Habari jf
Moja kwa Moja nije kwenye mada yangu. Nina ishi na huyu mwanamke tangu 2020 na tumejaaliwa kupata mtoto Mmoja japo hatujafunga ndoa lakini nililipia mahari

Amekuwa na wivu sana kuhusu Mimi lakini kwangu sio shida maana ilikuwa hainipi shida lakini baadae alianza hadi kutuma boda boda inifatilie kwenye mishe zangu kama ningukuwa nafanya mambo ya kihuni.

Mara kadhaa amekuwa akinishutumu na mahusiano na wafanyakazi wenzangu kazini ( yeye alimaliza chuo hajapata ajira) nikahisi labda Yuko loose nikaamua kumfungulia biashara

Imefika pahala alinitamkia Toka mdomoni make ya kwamba anamchukia mama yangu na ndugu zangu sababu sisi ni wa binafsi na hatumpendi sababu Huwa hawampigii simu mara kwa mara

Mwaka huu February niligundua kama simu yangu imedukuliwa ndo nikaenda kwa fundi nikagundua kama yeye ndo alifanya hivyo nikamwomba atoe lakini alibisha kuwa hajafanya.

Ukiachana na hayo yote Kila ugomvi ikitokea anadai anataka kuondoka lakini nikikubaliana na maamuzi yake anawapigia simu ndugu zangu na ndugu zake kwamba nataka kumfukuza so Huwa nashindwa kuelewa anataka nini. Yeye always ni vita juu ya wanawake wenzake japo kuwa hajawahi nifumania Wala kunikuta na mwanamke kwenye simu yangu.huwa anakisia anaponiona nawasiliana na mwanamke yeyote

Wiki iliyopita niliazika simu yake niwekee wi-fi kwenye tv ndipo ikaingia SMS ambayo ilinistua ikabdii nifuatilie nikaona ana mawasiliano ya kimapenzi nawanamme mwingine kwa muda mrefu ndipo nikaanza kuunganisha dots. Nimekuwa nikipata ugonjwa unaitwa herpes simplex kwa muda mrefu sana ikafika pahala Kila tukifanya mapenzi lazma nipake dawa huku yeye akinirushia maneno ya kwamba huu ugonjwa ninautoa nje namletea. Lakini nisipofanya mapenzi nilikuwa siupati nakuwa sawaaa kabisaaa. Ikafika pahala nikawa sipati hata hamu nae sababu ya kufu ya huu ugonjwa

Tangu nigundue sijamwuliza lolote lakini amejishtukia anahisi Kuna kitu nimegundua japo sipendi ajue kwa Sasa.
Mwenye uzoefu na changamoto kama hii anipe ushauri tafadhari
Sikumaliza kusoma ila ninaomba ufanye yafuatayo.
1 Sijui asili ya kazi yako lkn km hakuna ulazima nenda nyumbani mara tu baada ya kutoka kazini.

2 Lazima wewe si muaminifu kutokana na maelezo yako hapo,sasa match zako za ugenini chezea viwanja vya mbali na hakikisha kuwa mkeo hatowajua na wala hao mademu zako hawatamfahamu ( mheshimu sana mkeo buana mdogo)

3 Hakisha usalama wa familia yako kiafya,kijamii na kiuchumi,siyo unatoka nyumbani asubuhi,pengine mambo hayakukuendea vyema alafu nyumbani unarejea saa 7 usiku.

4 Kuwa muwazi kwa mkeo juu ya kinachokuchelewasha wakati mwingine kurejea nyumbani.

5 Acha mawasiliano yasiyokuwa ya lazima na wafanyakazi wenzio hasa wa kike ukishafika nyumbani,unapokuwa nyumbani ni muda wa mke wako na mtoto wako kukutumia wawezavyo.
Siyo mtoto wako akikunyaga na kuchafua kidogo tu suit yako unampiga kofi la tani 7 wakati mtoto wa hawara yako huwa anakutemea hadi mate ila unachekela tu (ikumbukwe mkeo ndo anafua hizo nguo).

Ebu jaribu kutekeleza hayo kwanza halafu unifuate tena nikupatie dozi nyungine kutegemea na mabadiliko yatakayotokea.
 
Sikiliza nikuambie, Watu Wabaya Huwa wanakawaida ya kujificha kwenye mavazi meupe.

Mkeo Kujifanya Kila Mara anakufatilia, analiaa, anakuambia naondoka, na mablaa blaaa mengi, ni mbinu ya wewe umuone yeye Malaika, ili utumie muda wako mwingi kua unajielezea kwake, na usitake kumfatilia.

Wewe ni Mjinga sana japo unataka uambiwe, 'Una akili', ila wewe ni mjinga sana ,mjinga na Tahira !!.

Meseji imeingia ya kimalaya, ukarudisha simu kimya kimya? Akajua unajua ? Alafu unakaa kimya?? Unakula Chakula anachopika?? Unakunywa chai yake ??

Hivi wanaume wengine mkoje ??

aiseee, ulishindwa kukiwasha palepale , Tena unashahidi wa meseji?? Wacha yeye anayesadiki, unameseji, alafu unashindwa kukiwasha ??.

Sasa nakuambia hiyo shida ya HSV Huwa inaendana na HIV , utachagua mwenyewe ,unataka uishi na ipi !!.

Mjinga Mmoja wee, Ndivo ulifunzwa kwamba, ukiwa Jentomeni , ni kukaa kimya,, Nilitegemea unakuja kutusimulia JF juu ya hatua ulochukua haraka haraka, ili kuzuia Hatari kabla haijawa kubwa,,,,, Weee unaleta Blaaa blaaaaa .

yaan Wanaume mnaopata Wanawake Kwa bahati , na wale mnaoepuka Ngono mpaka mtakapooa, Huwa mna Matatizo sana !.

Una Ushahidi wa Meseji kua analiwa muda mrefuuu.
una Gonjwa unaishi nalo !!.

Bado tuuu umekomaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom