Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tangu niyafahamu mapenzi sijawahi kukaa mda mrefu namna hii bila kushiriki, mpaka sasa ni miezi miwili sasa nimejikuta tu nimeshazoea nadhani naweza kumaliza hata mwaka. Kwako mdau upi ni muda...
3 Reactions
93 Replies
1K Views
Sio kwa ubaya Ulianza kufanya mapenzi ukiwa na miaka mingapi?
8 Reactions
84 Replies
2K Views
Kila ndoa ina hali na mazingira yake, hivyo mwanamke hapaswi kupima maisha yake kwa kulinganisha na yale anayoyaona kwa wengine
0 Reactions
4 Replies
39 Views
kwa wale mliojaaliwa kuwa na mtoto au watoto. Je, ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi ? Ulipanga au ilitokea kwa bahati tu ? Swali special kwa wanawake: ulipata mimba kwa mara...
6 Reactions
21 Replies
559 Views
Hongereni wanasimba kwa pira zuri hakika mmeonesha mwanzo mzurii. Aisee jana baada ya mechi kuisha nilikaa nisikilizie Usiku wa Bongo fleva. Nikaagiza kinywaji ili nivutie muda. Nikapiga konyagi...
9 Reactions
52 Replies
1K Views
Mara ya kwanza kulala na malaya ilikuwa mwaka 2014. Nikiwa nimetoka job nilikutana na mtoto wa baba mdogo (RIP), alikuwa na mshikaji wake wa chuo (Muhaya) sasa wale jamaa mi sikujua plan zao...
29 Reactions
119 Replies
6K Views
Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- 40 na kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa...
11 Reactions
109 Replies
2K Views
Habari, Naomba ushauri wenu moyo unauma sana. Nipo kwenye mahusiano ya mbali (LDR) kwa miezi minane sasa. Nampenda sana huyu mwanaume, kiasi kwamba muda mwingi nautumia kusali, kufunga na...
7 Reactions
62 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi #JF 1.Utangulizi Hii ni true life story ya maisha yangu, nikilenga kutoa ushuhuda wa mambo kadhaa niliyoyafanya katika harakati za kuchakata mbususu. Mimi sio msimuliaji mzuri...
20 Reactions
75 Replies
10K Views
BINTI YANGU; HUWEZI KUWA MCHEPUKO KAMA SIO MALAYA. KILA MCHEPUKO NI MALAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba Mkali. Wala sitakuonea aibu binti yangu. Nitakuambia Ukweli wote. Ni kweli...
2 Reactions
7 Replies
96 Views
Nina debe 4 za mahindi, Maharage yapo debe 1 Geto kama mnavyoona Alhamndulillah. Kilichobaki Sasa nipate mke nioe
29 Reactions
103 Replies
1K Views
Leo nimekaa nikakumbuka mkasa mmoja uliotokea miaka kadha iliyopita. Mwaka fulani nikiwa natoka Jeshini (841 KJ- Mafinga) mujibu wa sheria nilibahatika kukutana na zali la mentali hili...
24 Reactions
149 Replies
3K Views
Habari wakuu. Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje...
18 Reactions
137 Replies
2K Views
Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata...
10 Reactions
131 Replies
2K Views
MAMAAKE NI SINGLE MOTHER LAKINI KAMKATAZA ASIOE SINGLE MOTHER. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Rafiki Yangu wa shule(A'Level) na chuo kikuu amenipigia akiwa katika hali ya kuchanganyikiwa...
4 Reactions
67 Replies
2K Views
1. Nilishawahi kuvunja ndoa ya mke wa mtu kisa one night stand. 2. Kuna demu wa Kikenya alishachelewa ndege kurudi Marekani kisa hiyohiyo one night stand. 3. Nilikula client mkubwa wa kampuni...
13 Reactions
49 Replies
865 Views
Mtoto wa kike unataka kuolewa na Mwanaume tajiri. Bahati mbaya huna elimu, huna pesa, unatokea familia ya kimaskini, huna Shughuli ya kukuingizia kipato wala ajira. Basi kitakacho kuokoa ni...
11 Reactions
50 Replies
456 Views
Single mother wote wakiingia kwenye mahusiano mapya huwa hawawaongelei vizuri wazazi wenzao. Hauwezi kusikia anasema "baba mtoto yupo anampenda na kumjali sana mwanae" . Mara zote utasikia "hata...
49 Reactions
312 Replies
4K Views
Mimi mpaka hapa nimechanganyikiwa, yaani Akili yangu Iko "ovez" Dr. Mariposa
6 Reactions
27 Replies
342 Views
Kazi yangu ni bodaboda, na nilijuana na huyu single maza kupitia kazi yangu hii, maana yeye anafanya kazi bar hivyo uwa anatoka usiku sana, basi akachukua namba yangu ikawa kila usiku anapiga simu...
27 Reactions
290 Replies
4K Views
Back
Top Bottom