Love language

Love language

Afisa_Nkai

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2025
Posts
494
Reaction score
1,046
HOopvH2WQAIolpc.jpg
So you're trying to tell me that my hard earned money is your love language?

Sorry i don't speak that language, and i will never speak

Kuna muda haya maisha yanataka watu wawili wenye kupendana wanaoweza kukubaliana, kukua na kupambania ndoti zao pamoja ili hio inayoitwa love language iongeleke na kueleweka kwa pande zote mbili

Uzi tayari.
 
Mtoa mada anataka mapenzi ,na sio kutombana tu anataka wanawake wamuonee huruma wampende
Mkuu wapi mimi nimesema nataka kuonewa huruma 😂, mwehu tafadhali sana. sihitaji kuonewa huruma kiongozi
 
Back
Top Bottom