Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
  • Closed
Sifa zangu Umri: miaka 34-35 Dini: Mkristo Elimu: Shahada ya uzamili Ajira: Mwajiriwa wa serikali Urefu: 161cm SIFA ZA MWANAUME Umri: 35-45 Kabila: Lolote Rangi: Yoyote Elimu: Shahada na...
11 Reactions
43 Replies
4K Views
Sifa zangu Umri: 30 Makazi: Tabora&Shy Elimu: ya chuo Kazi: Mwajiliwa Rangi:Mweusi Watoto: 1. Jinsia:Me Kuhusu Mimi: Mpole, mchapakazi Ninayemtaka Sifa zake Umri:20-28 Elimu:Ajue kusoma na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba nikumbushie hapo nyuma kidogo nili post ombi la kutafuta mwenza mwenye nia nashukuru walijitokeza baadhi ya wadada lkn nikapata safari ya ghafla mkoani niliendelea kwasiliana na kuzungumza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano Mimi ni mwanamke wa miaka 27, Sina mtoto ninaishi Dar es Salaam. Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia. Miaka awe na 30 na kuendelea...
22 Reactions
93 Replies
10K Views
Mimi ni mwaname mwenye umri wa miaka 38 ni muislamu. 1. Awe muislamu 2.umri kuanzia miaka39 hadi45 3.asiwe na mtoto 4.Awe mvumilivu na ukubali kuishi na mtu hohe Hahe ila mwenye kutafuta. 5. Elimu...
3 Reactions
7 Replies
893 Views
Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect. Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile. Sifa zake: 1. Awe na umri...
42 Reactions
326 Replies
26K Views
Nataka mchumba ambaye baadae atakuwa mke, nataka nipate mwenzangu kama mchumba sasa hivi ili tuandaane kwa miez isiyopungua 5 mpaka ndoa. Sifa 1. Awe na umri 22-24 2.mwenye elimu isiyozidi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
KWA ALIYE SERIOUS 100% A: KUHUSU MIMI DINI: MKIRISTO KIMO: Mrefu wa kadri RANGI: Maji ya kunde ELIMU: Degree KAZI: Sijaajiriwa NDOA: Sijawahi kuoa MTOTO: Sina UMRI: 34 MAKAZI: Kagera Mengine...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Katika maisha ya kimahusiano huwa naamini hakuna formula ya kusema mke/mme lazima umpatie sehemu fulan,waliomo humu jf ndio waliopo mtaani japo wengi humu hawapo kwenye uhalisia wao lakini wapo...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Hbr za Jumapili? Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Nahitaji mke mwenye sifa zifuato: Mcha Mungu Mkweli Muwazi Umri 27 -39 Elimu yyte Anajishughulisha Kabila lolote Sifa zangu: Mcha Mungu...
2 Reactions
3 Replies
915 Views
Natafuta mchumba hadi kuwa mke Awe tayari kuwa mke Awe mkristo hata akiwa Muislam tutaongea Age 20 hadi 24 Mwajiriwa au amejiajiri Awe Dar es Salaam SIFA ZANGU: Niko Tayari kusudia Mwajriwa /...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi in mwanamme mtu mzima ninayejiheshimu, umri wangu miaka 49. Nahitaji mwanamke ambaye tutaazisha mahusiano ya kidumu muhimu awe anayejiheshimu na mkweli na mapenzi ya dhati na umri usizidi...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Kama wewe ni msichana mzuri na upo Morogoro Mjini (Municipal) basi njoo PM tuyajenge. Umri usizidi miaka 22, Dini ni yoyote ile Elimu, kama umefika IV na ukajiendelezaendeleza kidogo you derseve...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Salama jamani, Nisiwe mnafki japo mwenyewe niliweka tangazo humu kutaka mume lakini niliochat nao hatukuwahi fikia muhafaka ila baadae Mungu alinijaalia nikampata mwanaume katika mazingira ya...
28 Reactions
201 Replies
29K Views
Wasalaam, Naomba kufikisha ujumbe kama nilivyopatiwa. Dada/Mama/ Aunt wa miaka 40 - 45 anahitajika kwa mahusiano na mtu mzima mwenzake iwapo wataridhiana. Ni vyema akawa anaishi Dar es Salaam...
3 Reactions
2 Replies
932 Views
  • Closed
Hello dear friends! Nipo hapa kwenye hili jukwaa for the first time looking for a life partner wakumaliziana muda wetu wa maisha ulobaki hapa duniani. Ok sifa zangu ni hizi hapa. Am a woman of 33...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wana bodi! Mimi ni mtanzania umri wangu ni miaka 31, nimejiajiri, NAHITAJI mwanamke umri miaka 20 hadi 27 awe anajua nini maana ya familia pia awe mcha dini sichagui kabila rangi wala...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 28 Elimu: Electrical and Electronics Engineer Makazi: mbezi luis dar es salaam Kazi: Kwasasa bado sijaajiriwa Nahitaji msichana kuanzia umri wa miaka 21 tuwe...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Hellow! Habarini wapendwa mimi ni mwanamke, nahitaji mwanaume mwenye nia ya dhati, bila kujali nina mtoto au sina mtoto SIFA ZANGU Umri:30yrs Marital Status:Single,sijawahi kuolewa Colour:Maji...
8 Reactions
39 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 34. Mimi ni msomi ngazi ya Master's Degree. Mie ni mkazi wa Dar na ni Mtumishi wa Umma. Tangazo hili sio jipya nimeamua kulirudia tena kwa sababu...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom