Kama niliyvo sema apo juu mimi nahitaji mke awe kweli na utayari pia umri usizidi miaka 29, nipo Dar.
Huu ndio wasufu wangu
Umri wangu 25
Dini yang muslim
Kazi mfanya biashara
NB:dini Ata akiwa...
Miaka yangu 29
Makazi Pwani
Muislam
Nimtakaye
Awe kuanzia na miaka 31
Awe na kazi
Muislam
Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani.
NB: Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama...
Naweza nikajiita loser. Niliutumia ujana wangu vibaya sana. Nilijiona mimi ndio mimi. Sikutaka kuwa na mahusiano ya kudumu. Nilipenda kupita bila kujali hisia za wale ninaowahitaji.
Nilijiona...
Mm ni kijana(wakiume) miaka 25 nipo dar es salaam mfanya biashara Naitaj binti mkwer asizidi miaka 29 awe serious sabab sipo apa kupotza mda mimi ni muislam ila dini schagui tutaongea mm na yeye...
Mimi ni mwanamke, Natafuta mchumba ambaye tutaweza kuanzisha familia pamoja,
Baadhi ya sifa zangu
1.Mimi ni mwanamke wa kawaida tu,
2.Nimeajiriwa
3.sina mtoto wala sijawai kuolewa
4.30yrs...
Habarini.
Nipo Dar kimaisha na kimakazi na natafuta rafiki wa karibu sana ambaye atakuwa nami kimaisha na kimapenzi. Nipo serious na nina mapenzi ya dhati. Umri wake usizidi miaka 50 nami umri...
Hello my Love,
When will you come to me. I am tired to be single to sleep alone like nobody.
I need you a true love, husband, one of the kind where are you?
I will love u, respect u and i will...
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni...
Kama wewe ni muhusika basi husika na kichwa cha habari.
Mimi ni kijana wa miaka 36, na ni baba pia wa mtoto mmoja wa kiume. Nilikimbiwa na mwanamke baada ya kuyumba kiuchumi na mpaka sasa bado...
Hello people i am looking for a true love i love to express my self.
I am a lady age 30 i am looking for a man who will love me and understands me .
Qualifications
Tall but not much Avarage...
Habarini wadau.Nisipoteze muda, nachukua nafasi hii kuweka hapa rasmi, mke mwema anahitajika.
Umri wa mume mtarajiwa Ni 36 yrs, mkristo Safi, Elimu Ni graduate..., Mwajiriwa idara X.
Mwanamke...
Habari ya leo wana jukwaa wenzangu,
Mke wangu hataki kunipa tunda hata niki muuliza kila siku anakuwa na sababu tofauti mara nime choka, mara leo naumwa nashindwa kuelewa kwanini ananifanyia hivyo...
Hello Jf users,
As per heading above
I'm a woman of 32 years.
University level education.
I have one kid.
Religion-Christian.
I'm looking for a Matured Man to start a serious...
Kama kichwa cha habari, kinavyojieleza malengo yangu ni kuhakikisha mpaka mwezi wa 12 nakuwa ndani ya ndoa takatifu hivyo najitokeza kutafuta mke.
Mimi nimesoma mpaka a level, naishi Dar es...
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 38 Elimu yangu ni Degree. Dini yangu Mkristo. Niko single. Nipo Dar.
Sifa za mke awe na umri kuanzia miaka 30 -45. Awe Mkristo pia lazima awe Dar.
Aliye...
Habari zenu, za siku nyingi jamani. Nina rafiki yangu wa kike ana miaka 27. Anatafuta mume/ mwenza wa maisha sio boyfriend na yupo serious, aliyeko serious waanze safari ya maisha
Sifa zake ni...
Jamani wana Jf,natafuta mume wa kunioa,p'se mwombaji awe na sifa hizi:
1. Awe na Mashine kubwa (sina utani na hili jamani)
2. Awe angalau ana kazi au biashara yoyote ile
3. Umri miaka 28-35. Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.