Naimani wote ni wazima namshukuru Mungu pia nami ni mzima,nimekuja mbele yenu tena maana mtafutaji hachoki na hakichoka ujuwe kapata.
Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu:
SIFA...
WanaJF
Nakuja kwenu kutafuta kipenzi cha roho yangu.Natafuta msichana awe girlfriend mwenye sifa hizi.
Awe mnene
Awe anavutia
Awe rangi yoyote.
Asizidi 35.
Awe na shughuli yake.
Sifa zangu
Nina...
Wadogo zangu, marahaba...
Naomba niongee na wakubwa zangu.
Kwanza ningependa kutanguliza shukuran zangu za dhati kwa Mwenyezi MUNGU, hakika wewe ni muweza wa yote. [emoji120][emoji120]
Kama...
Mimi
Umri wangu:27
Kazi: mtumishi wa selikari
Mwili:mref wastan,
Ngozi:maji ya kunde
Naomba mwanamke mwenye uhitaji aje pm
Sifa
1.mcha Mungu
2. Umri miaka 22- 25
3. Sibagui dini wala kabila
Bado ninatafuta mwanaume jamani awe HIV+. miaka 33 kuendelea awe na shughuri ya kumuingizia kipato. Zaidi awe maeneo ya Iringa,,Mimi Nina miaka 30,muajiliwa,mtoto mmoja,
Asanteni karibu PM IPO WAZI
Vigezo;
Awe Mkristo awe dhehebu lolote.
Awe ana miaka isiyozidi 25
Awe mweupe, mrefu kiasi na elimu yake isipungue frm4
Pia awe mcha Mungu na awe anahudhuria kanisani.
*******
Mimi ni msabato...
Karibia mwaka sasa toka nitoe tangazo la kutafuta mwenzi humu.
Upweke ni kitu mbaya sana.
Mimi ni kijana umri ni late 20.
Natafuta mwenzi ambae atakuwa mke.
Nimeajiriwa.
Sichagui dini.
Kwa...
Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili....
Mimi ni mwanaume wa miaka 34. Elimu yangu bachelor, nimejiajiri.
Kulingana na majukumu yangu ya kazi imekuwa ni vigumu sana kuwa na mwingiliano wa watu...
Hello,
Poleni na majukumu ya kila siku ya kujipatia ridhiki na kulijenga Taifa.
Back to the point nahitaji rafiki wa kike ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa...
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.
Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye...
Jamani unajua "no body is perfect" thats why mimi nimeamua kuongea kuhusu udhaifu wangu katika sector ya mapenzi hasa kwenye kipengele cha "cha maneno ya kubembeleza" so jamani kwa mtu mwenye...
Mim ni kijana wa Umri wa miaka 37 namtafuta single mother au mwanamke yeyote wa kuwa nae kwenye mahusiano ambayo ni serious
Sifa: awe serious na mahusiano
Umri Kama nilivobainisha hapo juu
Sababu...
Natafuta rafiki wa kike awe mcheshi, asiwe na mambo mengi. Elimu yoyote ile. Mweupe kidogo. Umri kuanzi 20 hadi 30. Asiwe ameolewa. Awe tayali kubadilishana mawazo ya kimaendeleo. Mnakaribishwa
Mimi ni msichana ninaishi Dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu...
Nahitaji mwanamke mwenye hofu ya Mungu,asiyetaka tena maisha ya kuchezewa ovyo, anaehitaji ndoa ili apate heshima anayostahili kama mke wa mtu.
Umri miaka 19-28
Elimu kidato cha 4 na kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.