Nahitaji Mwanamke wa kuoa/kuishi naye mwenye nia ya dhati na mkweli

Jack Wabukoba

Member
Dec 11, 2014
11
9
KWA ALIYE SERIOUS 100%

A: KUHUSU MIMI
DINI: MKIRISTO
KIMO: Mrefu wa kadri
RANGI: Maji ya kunde
ELIMU: Degree
KAZI: Sijaajiriwa
NDOA: Sijawahi kuoa
MTOTO: Sina
UMRI: 34
MAKAZI: Kagera
Mengine tutaelezana

NAHITAJI mwanamke aliye tayari kuanza kuishi na mwanaume hata sasa (ndani ya muda mfupi sana) na mwenye nia ya dhati na mkweli.

B: VIGEZO KWA NINAYEMHITAJI
1. Awe na kazi (mwalimu, nesi, askari) au kazi nyigine rasmi.
2. Awe tayari kufika nilipo kwa Mara ya kwanza tunapoonana ana kwa ana.
2. Sibagui kabila lake, rangi wala mkoa japo kanda ya ziwa itapendeza zaidi.
3. Asiwe na mtoto (akiwa nae asizidi mmoja)
4. Unene wa kawaida
5. Mpole, mkarimu, mngwana, mpenda watu na apende maendeleo (kuwekeza).
6a. Mwenye hofu ya Mungu
6b. Mengine tutaelekezana!

Kama umevutiwa na habari kama hii njema basi usitumie muda kuandika hapa, nipigie tu simu kupitia 0623 605 405 muda wowote 24/7 Tuzungumze. SMS nitajibu.
 
Habari, pole na majukumu.

0623605405<

Bado ninatafuta mke. Kama upo tayari kuyaanza maisha ya mume na mke kwa sasa. Sina vigezo vigumu vya kushinda mtu, bali tuchache twa kawaida sana.

umri 23-35.
uwe huru na uwezo wa kusafiri ili iwe rahisi kuonana ana kwa ana.
ukiwa na mtoto asizidi 1.
usiwe na ndoa inayoendelea.
ukiwa kanda ya ziwa itapendeza sana.
upendo, utu, upole na uungwana ni siraha muhimu sana.

Wasiliana nami kwa 0623 605 405 muda wowote tufahamiane na tujue cha kufanya.

NB: UWE SERIOUS 100% sitasoma replies wala PM, chukua namba tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom