Natafuta rafiki wa kike kwa mahusiano ya dhati

Uncle Rubeya

New Member
Jun 6, 2021
1
45
Mimi in mwanamme mtu mzima ninayejiheshimu, umri wangu miaka 49. Nahitaji mwanamke ambaye tutaazisha mahusiano ya kidumu muhimu awe anayejiheshimu na mkweli na mapenzi ya dhati na umri usizidi miaka 60.

Namba zangu 0717667348, nipo Dar.
 

nanawoo

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
1,166
2,000
Anahitaji mwanaume hapo kaandika na yeye pia mwanaume sasa hapo sijui inekaaje sasa
 

Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
1,976
2,000
Mwanaume unajihitajia mwanaume? Umesoma kabla ya kuposti? Kuna button ya ku-edit
 

Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
11,889
2,000
Mapenzi popote bana, wewe upo huku gizani ila pia ndiye huyo huyo uliyepo huko mtaani(mwangani) wote sawa tu, mi sioni shida kabisa
Mmh, mimi siwezi kutangaza, naweza kupenda mwandiko...nikajua kichwani una nini...then pm...hapo pia sitatongoza hadi nikufahamu kabisaa, ndipo ufukuziajii
 

financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
11,027
2,000
Mmh, mimi siwezi kutangaza, naweza kupenda mwandiko...nikajua kichwani una nini...then pm...hapo pia sitatongoza hadi nikufahamu kabisaa, ndipo ufukuziajii
Ok that's your strategy, wengine wanaamini anaweza tangaza na akapata mtu sahihi pia, muhimu kila mtu afanye kile moyo wake unamwambia ni sahihi.

Kwahiyo strategy yako kwa sisi tunaocomment ujinga huwa unatuonaje vichwani yani dah😂 kumbe hizi comments zinaweza sababisha ukakosa mume hivi hivi. Najirekebisha nakua good girl wife material 😁
 

Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
11,889
2,000
Ok that's your strategy, wengine wanaamini anaweza tangaza na akapata mtu sahihi pia, muhimu kila mtu afanye kile moyo wake unamwambia ni sahihi.

Kwahiyo strategy yako kwa sisi tunaocomment ujinga huwa unatuonaje vichwani yani dah kumbe hizi comments zinaweza sababisha ukakosa mume hivi hivi. Najirekebisha nakua good girl wife material
Wala huhitaji kuwa mama mchungaji, hata katika mizaha kuna hekima imejificha.
Mtu smart hata utani na ujinga wake una ka mvuto ka aina yake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom