neliville
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 202
- 177
Naomba nikumbushie hapo nyuma kidogo nili post ombi la kutafuta mwenza mwenye nia nashukuru walijitokeza baadhi ya wadada lkn nikapata safari ya ghafla mkoani niliendelea kwasiliana na kuzungumza nao lakini hakuna hata mmoja aliye fanikiwa kuni subiri nirudi tuonane tuzungumze na wote wameniambia wameshapata watu sasa najiuliza hv kweli nitapata mwenza muaminifu kweli humu nikisafiri watu c watanipigia jamani ,ila bado natoa ombi mwanake aliye tayari ani pm mm awe chini ya miaka 27na awe ame maliza form 4na kuendelea kama hana kazi ajiandae kwa ujasilia mali cpendi golikipa mm na awe na heshima kwangu na ndugu zangu nakaribisha maombi.