Nahitaji rafiki wa kike mwisho aje kuwa mke

atlas copco

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
8,292
9,390
Katika maisha ya kimahusiano huwa naamini hakuna formula ya kusema mke/mme lazima umpatie sehemu fulan,waliomo humu jf ndio waliopo mtaani japo wengi humu hawapo kwenye uhalisia wao lakini wapo wakweli, hivyo basi na sina budi kutangaza Nia

Wasifu wangu

Dini: RC
Elimu: Nina elimu ya kujua kusoma na kuandika
Makazi: Arusha
Jinsia: Male
Kazi: Mjasiriamali

Nahitaji mke wa kuoa awe na elimu yeyote ila anaejitambua na kuelewa nin maana ya mume, mrefu kiasi rangi yeyote ila mweupe atapewa kipaumbele zaidi asiwe mnene awe portable kiasi chake, umri kuanzia 25 to 30, mengine yanajadilika so alie serious namkaribisha PM

NB: Sijawahi kuoa ila nimebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom