Natafuta mchumba baadaye awe mke

jitulawatu

Member
Aug 9, 2020
52
49
Nataka mchumba ambaye baadae atakuwa mke, nataka nipate mwenzangu kama mchumba sasa hivi ili tuandaane kwa miez isiyopungua 5 mpaka ndoa.

Sifa
1. Awe na umri 22-24
2.mwenye elimu isiyozidi diploma, wa degree wanasumbua sitaki ligi Nyumban kwangu maana wanajifanya wajuaji sana,
3. Awe mkristo.
4. Awe muhaya, au msukuma au mnyiramba.
5. Please isiwe artificial, iwe natural
6. Awe na uwezo wa kujishughulisha hata nikifungua biashara iwe rahisi kuendesha
7. Awe msafi
8.Awapende ndugu zangu na marafiki
9. Awe mpole kiasi asiwe muongeaji sana sitaki makelele nyumbani kwangu
10. Akiwa tabora itapendeza zaid japo sio lazima sana

UMBO NA MWONEKANO
1. Awe angalau na urefu wa wastan tu
2. Awe maji ya kunde or mweusi fresh tu ,
3. Asiwe mwenbamba awe mwenye hips na umbo namba 8
4. Awe natural, Asiwe anatumia mkorogo kabisa yan.

AFYA
1. Awe tiyari kupima kaswende, Gono, UKIMWI na kizazi

Kwa mawasiliano ni PM serious issue

Asante
 
Kwenye kupima.umesahau group la damu mkuu.

Halafu wewe shomile nini??

Mungu akutangulie mkuu.
 
Nataka mchumba ambaye baadaye atakuwa mke, nataka nipate mwenzangu kama mchumba sasa hivi ili tuandaane kwa miezi isiyopungua 5 mpaka ndoa.

Sifa
1. Awe na umri 21-24
2. Mwenye elimu isiyozidi diploma, wa degree wanasumbua sitaki ligi Nyumban kwangu maana wanajifanya wajuaji sana,
3. Awe mkristo.
4. Kabila lolote fresh tu
5. Please isiwe artificial, iwe natural
6. Awe na uwezo wa kujishughulisha hata nikifungua biashara iwe rahisi kuendesha
10. Akiwa tabora itapendeza zaid japo sio lazima sana

UMBO NA MWONEKANO
1. Awe angalau na urefu wa wastan tu
2. Awe maji ya kunde or mweusi fresh tu ,
3. Asiwe mwenbamba sana awe mwenye hipsi na umbo namba 8

SIFA ZANGU
1. Ni degree holder nimeajiriwa japo sio Serikalini na nimejiajiri pia
2. Ni mweupe kidogo sasa sjui iyo rangi nimaitaje
3. Mrefu kiasi
4. Mkristo

AFYA
1. Awe tiyari kupima kaswende, Gono, UKIMWI na kizazi

Kwa mawasiliano ni PM serious issue

Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom