Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Naitwa Sam Miaka 35 Naishi moshi Kazi yangu biashara Kabila mchaga Dini Mkristo,, KKKT Mweusi mrefu Sio mnene wala mwembamba sana NATAFUTA MKE MTARAJIWA MWEYE VIGEZO VICHACHE TU KM IFUATAVYO...
3 Reactions
84 Replies
32K Views
Kama wewe ni mwanamke mgumba umri 18 - 30, basi mie nilikuwa nakutafuta wewe! Kiufupi ni kwamba nataka kuoa ila sina mpango wowote wa kuwa na mtoto (yaani mpango wowote). Kwa minajili hiyo basi...
6 Reactions
106 Replies
11K Views
Mimi ni mrefu mweusi kiasiii mwembamba Anahehitajika English figure mweupe kiasi Mengine tutajadilii na atakae patikana...[emoji176][emoji176]
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Naitwa Imma Sanga natafuta mke wa kumuoa, dini yoyote ila awe na hofu na Mungu. Awe na umri wa miaka 20-26, mimi nina umri wa miaka 30. Anitafute DM.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama kilivyoeleza kichwa Cha habari hapo .. mm nimkazi wa Arusha kazi Tourguide natafuta rafiki wakike mwenye umri kuanzia miaka 20-26 kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kufahamiana
1 Reactions
2 Replies
520 Views
Mimi ni mwanaume Umri wangu ni miaka 33 Mwajiriwa serikalini Nahitaji mke Vigezo.. 1.Umri..30 kushuka chini 2.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 3.Dini awe mkristo ##Mengineyo tukikutana tutayaongea
4 Reactions
12 Replies
759 Views
Mimi ni mwanaume umri 37 ni mwl natafuta mschana awe anajipenda na kujiheshimu nipo Dar es salaam 0689104184 siyo uchumba kuoa
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Za mida hii Nina uhitaji wa kupata mke wa kufanya nae maisha, nahitaji awe na sifa zifuatazo. 1.Asizidi miaka 30 2.Awe na uelewa muhimu wa maisha 3.Napenda awe na muonekano mzuri, japo ni jambo...
2 Reactions
4 Replies
473 Views
Habari zenu waungwana, mimi ni mwanaume umri miaka 38. Naishi Dar ni mjasiriamali, natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa vvu natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi...
8 Reactions
66 Replies
7K Views
Habari Ni kijana wa miaka 28 Kutokana na matatizo Yangu (kiafya) sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida. Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi. Nimejiajiri Ni msomi,mstaarabu na...
4 Reactions
86 Replies
9K Views
Hello wanajamvi. Ukweli tumefanya mistake nyingi ktk maisha, hasa ktk mahusiano. Tukifanya machaguzi mabaya, kukosea kwa mitazamo n.k Je, Tuishi kwa majuto na huzuni baada ya kuharibu mifumo na...
1 Reactions
4 Replies
624 Views
Helo diaz, Mama wa 32yr, 1 kid, government worker & mjasiriamali, sukuma & Christian. Natafuta mwanaume aliye serious na maisha mwenye hali kama hiyo, ambae yupo interested please come. Nyie...
20 Reactions
53 Replies
3K Views
...
1 Reactions
5 Replies
813 Views
Ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, sijawahi kuoa nipo Dar, dini mkristo. Bado natafuta mwenza wa kike umri miaka 28-32, awe anajishughulisha, awe mkristo, awe anakaa Dar. Aliye tayari...
1 Reactions
2 Replies
976 Views
Jina: Tumaini Umri; 31 Makazi: Mwanza Dini: Mkristo Kazi: Wizara ya mambo ya ndani. Natafuta mke miaka 25-30 awe Mwanza...
1 Reactions
16 Replies
979 Views
Mimi ni mke Nipo Arusha Mfanya biashara Umri 26 Mweupe, urefu wastani, umbo la mwanamke wa ki-Tanzania Namuamini Mungu Natafuta mwanaume wa vigezo Mwanaume atakaekuwa rafki, mpnz na mume kwang...
19 Reactions
118 Replies
13K Views
Naitaji mke wa kuishi naye umri wangu miaka 37 Sifa Awe mcha Mungu Mwenye chura japo kidogo Umri wake 30 mpak 34 Asinipende mimi sana ila aipende sana ndoa yake na awe tayari kuilinda kwa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la JF.. Upendo uendelee. Natumaini mu wazima wa afya, lakini pia tuwaombee wale ndugu zetu wanaotamani kuwa humu lakini wameshindwa kutokana na sababu...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
.
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Back
Top Bottom