Hello habari zenu. NAMI nichukue fursa hii kutafuta mpenzi. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,mwajiriwa serikalini, nimeoa mke yupo mkoani.
Nahitaji mpenzi Ambaye:
1. Ana umri kuanzia 22 mpaka 33...
Habari zenu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, wasifu wangu, mimi ni kijana wa miaka 35, nina mke na watoto watatu, muislam, nimejiajiri naishi Dodoma.
Nahitaji kuoa mke wa pili, sifa zake...
habar mimi ni kijana wa kiume umri,miaka 33,muislam,maji ya kunde,mwajiriwa serikalin idara ya utawala
natafuta binti wa kuoa umri wowote ila akiwa mdogo zaid yangu itapendeza ,elimu kuanzia...
Wadau nafahamu watu wana mahitaji tofauti tofauti hapa. Nimeona kuna wadada/wanawake wenye uhitaji mtoto na huwa wanatafuta mtu mwenye muelekeo ili waweze kupata mtoto pamoja.
Sasa ipo hivi; Mimi...
Sifa zangu
Naitwa - S
Umri -29
Makazi - Dar
Elimu - Degree
Kazi - Nimeajiriwa na pia nimejiajiri
Dini - Mkristo(RC)
Rangi - Mweupe mrefu
Sifa za ninayemuhitaji
Dini yoyote kikubwa upendo
Awe...
Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja. Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi.
Kama una ndugu au jamaa yako mwambie, hii ni kama fursa pia kwa wadada wasiyozaa...
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner
Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua...
Ndugu kwema naitaji mke mwenye kumtumain mungu na kumwabudu Niko dar nimeajiliwa na srk naitaji mwanamke mwajiliwa awe na uwelewa na umakin na akiwa ameajiliwa srkn ni vzr sana
Habari wana jf kama nilivotanguliza hapo juu mimi ni kijana wa miaka 29 najishughulisha na biashara kariakoo dsm natafuta mwanamke wa kuanza naye maisha kuhusu umri kuanzia miaka 27+ chini ya...
Sina mambo mengi ndugu zangu, nadhani kichwa cha habari kinaeleweka.
Mimi ni mume wa mke mmoja na watoto kadhaa na tunaishi kwa upendo na amani kabisa na familia yangu, ila nahitaji mwanamke...
Habari za Jioni ndugu zangu wote!
Nimekuja na ID mpya kwa sababu nayotumia nadhani imekuwa maarufu sana hapa na ni ya siku nyingi.
Naanza maisha mapya sasa, nimeshaamua na nimeshamaliza ujana...
Naitwa Samweli
Naishi Moshi
Kabila Mchaga
Umri 35
Nina mtoto mmoja wa kiume umri miaka 7 namlea mwenyewe kwasababu mama yake alishafariki kwa ajali. Nahitaji mwanamke atakayekua mke wangu...
Nimeona tu niweke hili wazi kwa moyo mweupe kabisa. Duniani kwa sasa tumekuwa busy sana hatuna tena muda wa kufukuzia mapenzi na kusumbuana mchana na usiku kimapenzi.
Mimi siwezi na niseme si...
Habari naitwa Elifuraha Lyimo niko Dar es salaam mimi nna umri wa miaka 30 natafuta rafiki wa kike wa miaka 20-25 ambaye atakuwa mke wangu aliyetayari aje pm ni kwa wanawake tu ahsante.
Wakuu salaam.
Kwa malezi niliyolelewa mimi sistahili kufanya ili jambo, pia kwa mila na desturi za kiafrika sistahili kufanya hiki kitu, lakini huu moyo ni wangu, na mmiliki wa moyo wangu ni...
Mimi ni kijana wa miaka 30, ninaishi na kufanya kazi Nairobi Kenya. Natafuta mchumba awe na sifa zifuatazo:
1. Umri kuanzia miaka 22 hadi 24.
2. Awe mkristo.
3. Awe na utayari wa kuolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.