Natafuta mpenzi wa kuifaurahia Dunia pamoja

masause

Member
Sep 20, 2018
52
97
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, natafuta mwanamke serious ambaye twaweza kuwa wapenzi. Ninaishi Dar.

Napenda huyo mwanamke awe na vigezo vifutavyo;

Umri: 22-30
Elimu : yoyote
Rangi : yoyote
Location: :Dar
Asiwe mwanafunzi wa chuo.

Aliyeserious ani pm nitampa mawasiliano yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom