Natafuta mume wa kunioa

chinkychinky

Member
Sep 24, 2020
17
100
Mimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta maisha na kujenga familia iliyo bora.

Sifa
Asiwe mlevi Wala mvuta sigara
Wenye hofu ya Mungu
Wenye upendo heshima na apende ndugu zake na wangu
Mpambanaji mpenda maendeleo na ushirikiano
Akiwa na mtoto au watoto sawa Mimi ni mama napenda watoto, watoto ni Baraka.
Wenye kusamehe muelewa pia

Nikimpata naahidi kumpenda na kumuheshimu kiufupi ata enjoy tutajenga familia iliyobora
 

Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
62,515
2,000
Mungu akajibu haja ya moyo wako, akakupe yule akufaaye kwenye dhiki na raha.

Akawe faraja kwako, akakupende , akuheshimu na kukuthamini.

Ila kiukweli, sisi wanywaji tunaupendo Sana, hebu badilisha kidogo hiyo PGO yako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom