Waa asalaam.
Mimi ni muislamu, rejea na kichwa cha habari hapo juu.
Nahitaji mwanamke anaweza kuwa na urafiki nami aje PM.
Sichagui kabila wala dini ninachotaka mimi ni kuheshimiana na pale...
Habari wana JamiiForums.
Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke.
Natafuta mwanamke wa kula nae...
Habari zenu ndugu zangu!!?
Mimi ni mwanaume wa miaka 35 sasa, nimekuwa sipo katika mahusiano Kwa muda mrefu kiasi na sasa nahitaji nipate Mwenza Kwa ajili ya kuendelea na Maisha ya mahusiano...
Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia...
Mimi ni mwanaume miaka 35, sijawahi kuoa, nimejiajiri, dini mkristo, niko Dar. Natafuta mwenza wa kike umri 28-33, awe anajishughulisha, awe mkristo na asiwe na mtoto, awe anakaa Dar.
Mimi ni Kijana Me
Umri 32
Rangi: Mweupe wastan
Mwajiriwa wa serikalini pia nimejiajiri
Sijawahi oa wala sina mtoto
Dini: islam
Elimu: Bachelor Degree
Height: 5.7
Umbo : wastan si mnene wala...
Uwe mrembo mwenye msimamo, unajitambua na mchapakazi, sichagui kabila mm nipo Dar, mfanyakazi wa serikali taasisi ni siri yangu tuonane pm tutambuane mm ni half maji ya kunde,urefu Sm 177 mwanamke...
Hongereni na Harakati Wakuu..
Baada ya kumkosa mtoto wa Kikenya na Mtangazaji wa BBC Ester Kahumbi Baada ya kuwa kumbe ameshaolewa na lijamaa huko kwao,nimekuja na ombi la connection..
Kuna...
Dear Tabu maneno
I love you not only for what you are, but for what I am when I am with you. I love you not only for what you have made of yourself, but for what you are making of me. I love you...
Anahitajika mwanamke mpambanaji katika kila Hali kipaumbele anayeweza asiyemtumishi
Awe tayari kufanya biashara na kuzaa mawasiliano 0764125128
Kwa maelezo zaidi kama una mtoto awe mmoja, umri...
Salaam, mimi ni mwanaume mwenye miaka 29, muislam.
Natafuta mpenzi ili awe mke wangu insha Allah.
Vigezo vyake.
1. Muislam or mkristo mwenye imani thabit ya kikristo na yuko tayar kubadili.
2...
Natafuta rafiki wa kike mwenye maono na hamu ya mafanikio.
Habari wakuu,mimi ni kijana mwenye elimu ya kidato cha sita.Umri wangu ni miaka 30,mkazi wa Dar es salaam.
Natafuta rafiki wa kike...
Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi humu watu wakitafuta wachumba ila hakuna mrejesho wowote kama wanafanikiwa au laa..ngoja na mimi nitafute mchumba humu huwenda ikawa kweli
Sifa zangu:
Sex:male...
Sifa
Awe mtanzania
Umri 26-28
Dini yoyote kikubwa awe na hofu ya MUNGU kupitia dini yake anayo iamini
Kuhusu kazi so ishu sana kwa upande tutapanga tukiwa pamoja ni namna gan tuishi...
Maisha ni safari na ni siri ndefu na kila mmoja ya kwake, kuoa ni sifa ambayo mwanaume anapaswa kujivunia;
Natafuta mke wa kuishi nae sasa mpaka milele.
Sifa zangu:-
Ni mkristo
Ninaumri wa miaka...
Naitwa Richard 35 Mkristo naishi DAR Nina Familia Ila hitaji langu NIPATE rafiki mwanamke MTU mzima 30+ mpaka 50+ lengo ni kuwa namtu wa karibu zaidi na mwenye tija katika maisha ya kila siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.