Mke wa kuoa anahitajika, nipo Dar es Salaam

MalcomX_Jr

New Member
Oct 15, 2022
1
2
TAFADHALI NAOMBA ZINGATIA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU.

Habari wana jamiii forums, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni kijana wa kitanzania.

Mimi ni mwajiriwa wa serikali katika ajira hizi mpyaa, sasa tangu niajiriwe kila nikipiga hesabu zangu siwezi ishi bila mke,nimeshindwa kabisa. Lakini pia nimeajiriwa katika moja ya taasisi hapahapa Dar es Salaam, lengo la bandiko langu ni kutafuta mke awe muislamu hata kama atakuwa mkristo awe tayari kubadili dini kuja upande wangu.

NB: Naomba nieleweke kuwa natafuta mke na siyo mpenzi. Naitaji mwanamke ambae naweza tengeneza familia naey

SIFA ZA MWANAMKE
1. Asiwe Mnene
2. Mweupe
3. Awe na kimo (urefu) wastani
4. Umri kuanzia 28 kurudi chini
5. Awe tayari kupima Afya
6. Awe na hofu ya Mungu, yaani asiwe ni mtu wa mambo mengi, maana mimi mwenyew sina mambo mengi.
7. Asiwe Mchaga, Muhaya au Mzaramo.

Ukiwa upo seriously ni PM.
 
Mzee wa kupambania

JF-Expert Member
Aug 14, 2022
4,576
8,938

Tupe mrejesho mkuu ushapata mchuchu?
 
Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
8,468
8,340
Nitonye, Mchaga, Mhaya na Mzaramo kulikoni? Upande wa imani nakushauri usiegemee upande mmoja, kila mtu abaki na imani yake . Hizi dini ni danganya toto tu, ni biashara.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom