Nahitaji mchumba ili awe mke kwa baadaye

mzeemkavu

JF-Expert Member
Dec 3, 2017
305
322
Wakuu natumaini mko poa. Mimi ni kijana nina umri miaka 30, natafuta mwanamke aliye serius awe mchumba na baadaye Mungu akijalia ndoa. Sina mtoto wala sijawahi kuoa.

Mimi nimejiajiri, mrefu wastani, mweusi, naishi Dar es Salaam, elimu yangu ni Diploma, kabila langu ni Muha wa Kigoma.

Naitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo:

1. Awe mcha Mungu.
2. Umri miaka 18-28.
3. Awe na umbo la kawaida asiwe mwembamba sana.
4. Awe tayari kunitii na kuniheshimu kama mume.
5. Awe na kazi asiwe nayo me freshi, ilimradi anaakili ya maisha na siyo mvivu.
6. Awe amesoma.
7. Rangi awe mweupe asili kwasababu mimi mweusi.
8. Asiwe flat screen na wala simaanishi awe na makalio makubwa sana saizi tu ya kawaida.
9. Kabila lolote sichagui
10. Awe Mtanzania na awe anaishi Dar es Salaam.
11. Asiwe na mtoto.

NB: Nipo serious kwenye hili sitanii naona mda umefika wakuacha kulala peke yangu

Ambaye yupo interested ani pm.
 
Hahaaa....
darlings bhaana..!!
Hivyo me nalala peke yangu nakuwa wa baridi kama panga lililosahaulika nje..!!
Unawachelewesha wadogo zangu shule ujue embu mpm mtoa mada uniletee wadogo zangu bana😒😆
 
Hay kila Lal kkher HV unadhani mwanamke Ni anachongwa kwavigezo hvyo ulivyo ainisha hapo juu hkn aise
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom