Natafuta mchumba

murid

Member
Jul 21, 2010
44
3
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo

1. awe muislamu
2. awe mchamuungu
3. awe anapenda watu wangu
4. asiwe mpenda makuu
5. awe msikivu
nipatikana kwa anuani hii kwa maelezo ya ziada mazizini10@hotmail.com
na asizidi umri wa miaka 35.
 
Hiyo title nilidhani unatafuta gari kwa maana ya mchuma kumbe ndani sio im out.......................
 
Hiyo title nilidhani unatafuta gari kwa maana ya mchuma kumbe ndani sio im out.......................

hah ! me mnyewe nikataka nimweklekeze kwa mtogole pale kuna sehem wanauza vyum chakavu vingi sana.

anyway, wachuma watakua wamemsikia.
 
Unatafuta mtu apende watu wako ,maana yake nini,!
Kutokana na uzoefu wangu wa tabia za watu inawezekana wewe ni mbinafsi ,usiyejali wengine,!jichunguze labdakama ni aina ya uandishi tu !Ingefurahisha ungetafuta mtu mwenye upendo!
 
1.akiwa mchamungu kwa dini nyingine??????
2.akiwa sio mchamungu lakini ni muadilifu kupita wachamungu?????
3.watu wako wasipompenda???
4.tafsiri ya mpenda makuu ni ipi?
5.akiwa msikivu na wewe ni mbishi na kiburi????
 
Hiyo title nilidhani unatafuta gari kwa maana ya mchuma kumbe ndani sio im out.......................
Dah....namimi amenipata,nilijua mchuma gari.kumbe mchumba....nami sipo kwenye hii thread... bye....bye and best of luck.
 
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo

1. awe muislamu
2. awe mchamuungu
3. awe anapenda watu wangu
4. asiwe mpenda makuu
5. awe msikivu
nipatikana kwa anuani hii kwa maelezo ya ziada mazizini10@hotmail.com
na asizidi umri wa miaka 35.

sijui kama nitaweza kuacha kuyapenda makuu. Lol!
Hebu adjust kidogo hiyo namba nne tunegotiate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom