natafuta mchumba

Jef

Member
Mar 15, 2011
24
2
Naitwa Jef umri miaka 31( jinsia:mwanaume)natafuta mchumba umri miaka 23-31,sibagui dini,kabila,rangi,umbo wala elimu.mawasiliano:0713680829,Juma_Jafari@yahoo.com
 
au ni Jaffarai umeamua kuja jf kutafuta mwingine baada ya kupigwa chini na bibie shy
 
naona reserch uliyopiga kwa wenzako waliotuma post kama hii imesaidia jaman anatafuta na hana mashart
 
Ushauri wa bure
mke/mume mwema utoka kwa bwana huku jf utakula mikasa mpaka ujute
unless kama unatania...\\
kila la kheri
 
hahahahah wewe muombe Mungu atakupa mke upendae wewe hapa ni uzushi tuuuuuuuuuuu.
 
Mmmmh,jamani unatafta mchumba JF?

Kwani miaka yote hiyo....................oooh plz!

Hope you get one
 
Naitwa Jef umri miaka 31( jinsia:mwanaume)natafuta mchumba umri miaka 23-31,sibagui dini,kabila,rangi,umbo wala elimu.mawasiliano:0713680829,Juma_Jafari@yahoo.com

jef nimeona unamtaka jena sasa umepigwa chini nini ongeza cv
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom