Natafuta mchumba / mke mwema, i am more than serious

SAWEBOY

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
241
173
WAPENDWA AKINA DADA WA JF,

Najitokeza mbele ya jukwaa hili kuu kuelezeaaa nia yangu ya dhati ya kutafuta mchumba ambaye baada ya kuwasiliana naye na kukubaliana vema basi tufunge ndoa na kuijenga familia bora.

SIFA ZA MSICHANA ANAYETAFUTWA:

1. Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 28 .
2. Elimu kuanzia kidato cha nne (form 4) hadi PhD
3. Awe mnene au umbo la kati but sio mwembamba kivilee.
4.Dini yeyote ile but atambue kuwa sipo tayari kubadili dini ila nitaheshimu dini yake
5. Awe tayari kuishi nami ndani au nje ya nchi ya Tanzania kwa muda wote
6. Awe mtu wa kujiheshimu na yule ambaye ana nia thabiti ya kuuishi maisha ya ndoa.
7. Asiwe amewahi kuolewa au kuwa na mtoto.

SIFA ZANGU.
1. Ni mrefu wa saiz ya kati Ft.5.7
2. Elimu ya juu ya chuo kikuu
3.Kazi yangu: mwalimu nafundisha- chuo
4.Nimejipanga kimaisha

NB: Nakaribisha msichana/mwanamke yeyote mwenye sifa hizo hapo juu (basic) kama kuna mengine usisite kuwasiliana nami. Niandikie E-Mail: saweboy1980@yahoo.com au ni-PM

Asanteni, na karibuni sana.
Its, me

SAWEBOY
 
Hivi hakuna mwanafunzi mwenyesifa darasani kwako?

Mkuu, kwa kuzingatia maadili ya kazi sio vema kumshawishi mwanafunzi wako kuwa mke, ni vema kutoa nafasi kwa mtu ambaye nafsi yake ipo tayari kuingia ktk maisha ya ndoa.
 
Hivi hakuna mwanafunzi mwenyesifa darasani kwako?
Kama ubavu wake wa pili haupo hapo darasani?Kwani watu wanavyooa watu kutoka mikoa tofauti na yao kwenye yao kunakua hamna wanawake wanaofaa kuolewa!Kila mwanamke anafaa kuolewa ila sio na yeyote bali yule anaeendana nae!
 
Embu kwanza edit hilo jina kidogo..kama wewe ni wa kiume na sio mwanaume hujafikia kuwa na mke.Ila umenifurahisha kwamba umeweka sifa zako na wewe.Ngoja nikupe Thanks...alafu kila la kheri umpate wa kike au mwanamke wakukufaa!
 
Kwani wewe imekuwaje hujaona wasichana mwenyewe hadi huandike humu ndani una matatizo fulani? Uliokuwa nao wanakujua kila kitu? Maana siku hizi kuna wanaofichga siri wanaenda mbali kutafuta ma binti

Good luck
 
Mkuu, kwa kuzingatia maadili ya kazi sio vema kumshawishi mwanafunzi wako kuwa mke, ni vema kutoa nafasi kwa mtu ambaye nafsi yake ipo tayari kuingia ktk maisha ya ndoa.

kwajibu ili tu

unaonekana una busara thats unaelekea kuwa mwanaume bora
ni pm tuanze mchakato
 
Kila la heri mkuu, wengi watajitokeza kwa kuanzia tayari Rose1980 kashaonesha nia.
Ukifanikiwa uje utueleze!!
 
kwajibu ili tu<br />

unaonekana una busara thats unaelekea kuwa mwanaume bora
ni pm tuanze mchakato
Unabidii kazana mwishowe utaangukia pazuri kwenye mikono mizuri yenye urefu wa mita 5!!!!Ndo kiranga kitakuishia!!Kila raheri
 
Unabidii kazana mwishowe utaangukia pazuri kwenye mikono mizuri yenye urefu wa mita 5!!!!Ndo kiranga kitakuishia!!Kila raheri

KK jaman mbona unanitsha ehh kwa iyo unamaanisha nikangukia kwa jamaa apa KIRANGA KITANIIISHA AU UNAMAANISHA NIN?
jaman na mimi asi nimemjibu tu?usijali utakuwa best man kakakiiza au sio?
 
Kila la heri mkuu, wengi watajitokeza kwa kuanzia tayari Rose1980 kashaonesha nia.
Ukifanikiwa uje utueleze!!

atafanikiwa/tutafanikiwa
we ntakuweka kwenye kamat ya wagen asi poa au unataka ya vnywaji?
 
Unaonekana uko serious all the best

we r seriouz
habari yake dig dig banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:love:mis u boy....itakuwaje kwan ukidondoka kigeto pale jion ukitoka mzgon?mwambie bgrta nina mzgo wake jaman asinifanyie ivo akiniuz zaid ntaenda kuuweka kwenye tukutuku yake ohhh m tayad
 
Mkuu, kwa kuzingatia maadili ya kazi sio vema kumshawishi mwanafunzi wako kuwa mke, ni vema kutoa nafasi kwa mtu ambaye nafsi yake ipo tayari kuingia ktk maisha ya ndoa.

khaaa! Kwahiyo sisi wanafunzi haturuhusiwi kuapply?
 
Hata wewe unaweza kuanza kum-pm, na zaidi katoa e-mail address.

ehh katav jaman ..asi angesema mwenyewe mbna ivi?
ebu nkachek inbox yangu mie
mwenyewe ajalalamika nyinyin tu ..muanze muanze ...ehh nyinyi msubiri tu kupangwa kwenye kamat basi ahhh mimi nina urefu wa fut 9.6 km nimekosea ntarekebsha badaye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom