ninahitaji mchumba!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ninahitaji mchumba!!

Discussion in 'Love Connect' started by mchumiajuani, Feb 20, 2011.

 1. m

  mchumiajuani Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NINAHITAJI MCHUMBA WA KIKE SICHAGUI DINI WALA KABILA,AWEMREFU WA WASTANI AWE ANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA,MCHAMOLA MWENYEMAPENZI YA DHATI,AWE ANAAJIRA AU AMEJIARIRI,AWE ANAJITUMA NA MUADILIFU,MSAFI ANAYEJIPENDA, UMRI WAKE KUANZIA 18-30

  MIMI NI MFANYAKAZI KTK KAMPUNI FLANI NAJITEGEMEA, UMRI WANGU NI MIAKA 28 KIPATO CHANGU NI CHA KAWAIDA NI MSKRISTO SAFI NAJITEGEMEA,MCHAPAKAZI,MAMBO MENGINE YATAFUATA MARA BAADA YA MWASILIANO KWA MAWASILIANO NI

  chibobo2011@yahoo.com
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sawa.
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kweli kuna haja ya forum ya uchumba
   
 4. LD

  LD JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mimi sio mdini lakini huwa nikiona mtu anatafuta mchumba/mke halafu anasema dini yoyote???? Mi sijui namchukulia je?? Manake Imani kwa Mungu, jinsi ya kuabudu, na utamaduni wa kidini kwangu mimi ni moja ya mambo yakuangalia kwa mtu ninayefikiria anaweza kuwa mke/mume.

  Ni mawazo yangu tu!! Yawezekana nikielimika zaidi naweza kubadilika, lakini nahisi nina kamsimamo fulani juu ya hilo.
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Na mwaka huu lazima mchumba apatikane....................
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ld mi nafikiri kwenye imani hapo watakubaliana nani amfate mwenzie au kama vipi kila mtu abaki na imani yake.
  Mnaweza wote mkawa imani moja na msifanye yoyote ya kumpendeza mungu na inawezekana pia kila mtu na imani yake na mkaishi vizuri.
   
 7. LD

  LD JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mungu ni mwema!!
  Na iwe kama ulivyonena, Amen!!
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ni kweli Husninyo inawezekana hivo, lakini mi najaribu kufikiria pia utamaduni na namna ya kuabudu!! Mfano binti anayesali kanisa la Petekoste au kanisa lolote lakini ameokoka anampenda Yesu, anafuata mafundisho ya biblia kweli kweli, anaomba na kufunga kwa muda mrefu, anaamka usiku wa manane anaombea mambo mbalimbali pamoja na kukemea mapepo akiwa nyumbani kwake, halafu anaolewa na Muislam tuseme. Halafu kila mtu anabaki na Imani yake. Hivi wataweza kwenda sawa na tamaduni zao hizo? Mkaka Muislamu amelala usiku anasikia mke wake anafanya maombi chumbani au sebuleni. Kila roho iliyokinyume na Mungu ishindwe katika jina la Yesu!! Na upako wa maombi unashuka kabisa ananena hadi kwa lugha!!!!

  Hebu nipe elimu juu ya hili inawezekana??
   
 9. k

  kisukari JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  kwa nini mara nyingi post za mwanzo mwanzo,watu wanaomba wachumba?
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kiukweli ni ngumu kwa wale wadini sana ambao wanawaona watu ambao sio wa imani yao ni mashetani na waliopotea.
  Pia huwa ni msingi mbovu kwa watoto mtakaozaa maana sijui watafata imani ya nani.
  Ila kwa watu ambao wanajua tu kwamba mungu yupo na kusali kwao wakitaka kula, kulala na kuamka ni rahisi sana na sidhani kama kutakuwa na mgogoro wa imani kati yao.
   
 11. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  LD nakuhakikishia dini sio kabisa kigezo kwenye hili swala unaweza ukapata mdini mwenzako akawa kama mpagani hajawahi hata kwenda kuabudu ijumaa au jpili yeye ni siku ya kawaida sana kwake wala hastuki kwenda kuabudu. kwa hiyo wala hili isikukatishe tamaa wangu. nimeshuhudia ndoa za aina hii nyingi na zina mafanikio sanasana
   
 12. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kila la kheri kaka!!
   
 13. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ukweli ndio huo, lakini kuna na nguvu au vishawishi vya nje, toka kwa familia au marafiki. Mnaweza kuyafumbia macho yote hayo kwani nyinyi ndio wahusika wakuu, bila ya kujali kama mtatengwa au la. Tatizo kubwa linakuja wakati mkiwa na watoto. Mkiwa watu wa busara mtawalea watoto wenu kwa maadili mema bila ya ushawishi wa dini zenu. Mnawawacha watoto wenu mpaka wanakuwa wakubwa (kisheria miaka 18) ili wachaguwe wenyewe kufuata dini wanayotaka. Lakini mara nyingi mmoja hutaka watoto wafuate dini yake na ndio hapo matatizo ya kweli huanza.
   
 14. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kama mimi nilikuwa na mdini mwenzangu alinitesa sana jaman nimempata wa tofauti na mm tupo kama kumbikumbi kwa kweli mapenzi sio dini jamani watoto wetu nitakuwa radhi waende kusali nae tu wala sio tatizo na jinsi navyompenda nahisi huko mbala hata mimi nitaweza kumfata dini yake, dini nini bwana mababu zetu hawakuwa na dini waliishi kwa amani ni hawa wazungu na waarabu wametuletea hii mambo. Ila kwa wale wanaoangalia dini siwakatishi tamaa kabisa kila mtu na priorities zake
   
 15. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 1,869
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  waliomo wanataka kutoka, walio nje wanataka kuingia. Karibu tafuta mwenyewe usije mlaumu mtu
   
 16. N

  Nothing4good Senior Member

  #16
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mimi ninakila sifa ulizotaja hapo ila unanyumba yako mwenyewe? maana sipendi kukaa nyumba za kupanga usafiri je?
   
 17. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mwenye jukumu la kujenga ni nani? Mtajenga wote gari mtanunua wote! Wanawake msitake kuwa tegemez kwa kila jambo!
   
 18. g

  gudgirl Member

  #18
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli LD hata mie hiyo kitu ya dini huwa inanitatiza sana unless wote wanaokutana hapo kwenye uchumba hawana time na dini zao, wao ilimradi siku zimepita.
   
 19. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hata mimi nafikiri inapendeza zaidi watu wakiwa na imani moja...maana hata mkipata watoto mtawalea kwa imani moja! Maana inakuwa ngumu kweli mimi naamini YESU ndiye njia pekee ya kumwona Mungu, halfu mwenzangu haamini hilo, naye ana imani yake.......inakuwaje hapo??!!
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kila la heri bro!
   
Loading...