Nahitaji kuwa na mwenzangu

ISHERUHINDA

New Member
May 5, 2011
3
0
Inanipa wakati mgumu kumchagua ni yupi niwe naye ktk maisha yangu kama BABA na MAMA. Kinachonipa ugumu ni maisha niliyo yaexpirience hapa Chuoni ambapo kwa Asilimia mia moja ya wanawake, asilimia tano tu ndo anaweza kuishi na mpenzi mmoja kwa mda angalau wa mwaka mmoja na hata miwili. Ila waliobaki leo ana huyu na kesho yule. Nashindwa kuelewa hivi kuwa na wengi ndio ufanisi ktk mapenzi au????.............. Nimechunguza kila Kabira wana mienendo yao. Wapo wale wakimya lakini kwa sura na sio matendo na wapo wale mapepe kwa vyote matendo na maneno pia wapo wale mapepe kwa maneno lakini watulivu wa tabia lakini kuwatambua hao ni kazi kubwa. Mda wote niliosho hapa chuo sijafanikiwa kumpata wa kunifaa ktk maisha. Inanipa wakati mgumu nikiona room mate wanaleta wakwao nami natoa chance for fare game tu na sio mie kuleta nao wakatoa chance. Je, nifanyeje maana mpaka sasa niko Mwaka wa Pili na umri tayari 24yr nahitaji mchumba, nifanyeje????............. Kwa ushauri zaidi nitafute kwa namba 0787 391 170 au 0759 065 348. THANKS AND BEST WISHES.
 
Hahahah nikibeep utapiga??Nataka tu kukupa ushauri sema mfuko umetoboka!! Nwy. umeangalia nje ya chuo??Kuna wanawake zaidi ya hao unaoonana nao darasani kila siku. Angalia nje ya mazingira yako ya kila siku!Japo kwa mwanaume sioni una haraka gani!
 
sina ushauri wa zaidi, hivyo sitokucheki katika simu. Acha niweke hapa ushauri wangu wa kawaida.
Unaonekana umestahamili sana na sasa umeanza kushindwa kutokana na vishawishi. Na hivyo ndivyo vinavyokupelekea useme unataka mchumba.
Je unataka mchumba kwa maana ya kuwa unataka umuoe karibuni au unamtaka ili akuwezeshe na wewe kupewa chance ya game? Uchumba huo wa kudumu na mwanamke kwa miaka 2 au mitatu sijuwi hata ukoje kama si uzinifu kabla ya ndoa.
 
Kijana soma ww unawaza vitu gani hivyo hayo mambo yapo tu m2 wangu kaza kwanza mengine badae.
 
Wewe bado kijana mdogo sana kufikiria mambo ya mapenzi sasa,ukizingatia ni mwanaume unakimbilia nini? Utayakuta hayo muda ukifika. Labla nisiusemee moyo pengine una lengo zuri tu lakuoa mapema sana baada tu ya masomo,na unaona huu ni wakati muafaka wa kutafuta mwezi wa maisha, kama ndivyo vyema coz ni afadhali kuoa kuliko kuanza uasherati. Lakini kama sivyo na lengo ni kutafuta mtu wa kufanya nae mapenzi, mdogo wangu sikushauri,soma kwa bidii sana achana na vishawishi hivyo kwa sasa havitakusaidia, after all baada ya kumaliza masomo nakushauri ujikaze usioe mapema sana,jipange vizuri kimaisha kwanza coz ndoa inakwenda kukuongezea majukumu makubwa zaidi( usifikiri ni kwenda kupata ile raha tu vijana wengi wanayoifikiria).
 
Hicho unachokikimbilia utakichoka ndani ya mwaka tena mwingi ukishalala nae mfululuzo mwezi tu ushachoka sijui haraka ya nini wewe hebu soma hukoa acha tamaa za kijinga
 
Kazana kusoma kijana, Hakikisha unatengeneza GPA nzuri, hata umri wenyewe bado kabisa, nakwambia utakayempata pengine si mke sahihi wa kuoa. Maliza at least first degree, miaka 28 na kuendelea ni sawa, 24 jamani mbona mtoto mdogo sana?
 
Back
Top Bottom