jamani marafiki wa kweli wanahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani marafiki wa kweli wanahitajika

Discussion in 'Love Connect' started by bonifaphace, May 1, 2011.

 1. b

  bonifaphace New Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa moyo wa dhati kabisa natafuta binti wa kuoa age 22-25
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa na hao marafiki wa kweli ndo inakuaje??
  Nwy mi nna 21....si unaweza kupunguza kidogo???
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  yale yale mpenzi.
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Title na ndani tofauti kabisa aahkkh!! Haya bwana
   
 5. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yani tofauti kabisa. Mi nilipoona marafiki wa kweli wanahitajika, nilijuwa hiyo itakuwa nafasi yetu kwa wengi kabisa kumbe anayehitajika ni mmoja.
  then ulikuwa uweke vigezo zaidi.
   
Loading...