Wachumba wanapatikana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachumba wanapatikana?

Discussion in 'Love Connect' started by Engager, Apr 25, 2011.

 1. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jaman mlio kwisha tafta wachumba hapa naombeni data. Hv hao wachumba wanapatikana kweli au ndo changa la macho? Ntashukuru kma ntapata mifano hai.
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mimi nimepata hapahapa,hamna changa la macho:wink:
   
 3. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nasubiri majibu ya wadau.
   
 4. kure11

  kure11 Senior Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  karibuni mtuhamasishe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Walioomba watueleze kama walifanikiwa!
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Tulipatana hapa hapa ndoa tukafunga na mtoto tunaye
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  natumai watu wanatoa ushuhuda wa ukweli.....:A S 39:
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ila kaa ukijua kuwa, kwenye faida na hasara pia zipo!!!
   
 9. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Kuna sehemu nyingi za kupata wachumba - vyuoni, harusini, maofisini, kwenye party, daladala. n.k. Kwa maana nyingine ni swala la kuwa na uthubutu. Kama umependa thubutu ku-approach na kujieleza. Halafu komaa hata kama utakataliwa mara ya kwanza. Persistence pays. Kwa akina dada najua mna namna zenu za kuwafanya wanaume wafikiri wao ndiyo wameanza kumbe wao ndiyo walianzwa. Zitumie. Vinginevyo mtapoteza misamihati ya kutongozana. Kila kitu mpaka utumie mtandao?
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  mimi nilimpata hapa hapa, na meeting place yetu ilikuwa calabash, 2na miezi mitatu na sisikii wala sioni mwingine zaidi yake na kama unataka nikutajie ni nani nitakutajia ili uamini
   
 11. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mtaje bas
   
 12. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hmm. Tungependa kujua mlipataje wenzetu kuliko kusema tu mlipata wachumba. Yani mlianzisha thread au baada ya thread kuanzishwa nyie ndio mkamPM au ilikuaje mpaka mkapata? Tungefurahi kufahamu na hayo wakuu
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama ambavyo zinakuwepo mkikutana popote pale!!!
  Faida na hasara haziletwi na mlipokutana bali waliokutana!
   
 14. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  inategemea sana kama wote mna nia ila naona wengine tumekuwa tukifanya masihara.
   
 15. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  heee, kumbe ndo hivyo..basi na mm natafta mchumba jamani..kwa mdada yoyote aliye tayari kwa serious and productive rfelationship ani PM. sifa ni moja tu, awe na heshima.
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,595
  Likes Received: 5,775
  Trophy Points: 280
  ushawahi kuona mwanaume anaolewa kwenye internet
  Karibu..tena usithubutu kimbilia tu afriksana kuliko kuja huku
  yatakukuta usiyofikiria kukutwa kwa umri wako
   
Loading...