Natafuta mchumba mpole | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba mpole

Discussion in 'Love Connect' started by mojoki, May 3, 2011.

 1. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kwa dhati kabisa natangaza nia ya kutafuta mchumba kati ya miaka 18 ma 21
  Awe mpole,Mzuri,Mtaratibu,asiwe mtata mtata kama members wa JF,Ajiamini,awe na mipango na mikakati yake ya kimaisha kwa maana ya kwamba mtu mwenye kushuhulika,Mimi ni mkristo lakini ningependa sana binti wa Kiislam,Napenda sana binti akiwa katika lile vazi (hijabu),Sina nia ya Kuoa kwani Umri na Majukumu niliyonayo sasa hayaruhusu...Lakini nina mpango wa kuwa na Gal mmoja tu asiyependa vya bure bure hata kama ni kutoka kwa mpenzi....Nina nia ya dhati kabisa ya kuwa na mpenzi...Kama yupo binti mwenye nia kama yangu ajitokeze tafadhali na kuni PM...atakayenibeza kwa hili ombi langu naahidi kumtusi hapa hapa JF...wacha iniharibie CV kwa mpenzi msubiriwa...mtarajiwa
   
 2. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wewe nawe, hujui hata kudanganya kidogo, unafikiri kuna mtu atakayependa kuchakachuliwa tu??
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahahahahhahahahhaahh kibomu cha kulalia:peace:
   
 4. vena

  vena JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  all the best kaka....
   
 5. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kudanganya ili iweje alafu ili nipate kimeo...we wacha ni search m serious we kama unawaza ufataki shauri zako
   
 6. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  hahaha eti 'asiwe matata kama members wa jf'
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna yule anaevunja vitu ukimdanganya ngoja tukuunganishe nae.
   
 8. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Aende fb, hi5, tagged, skyp, twiter au kwengineko atampata ila hapa atakutana na hao hao watata tu
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280

  Watu wengine bwana
   
 10. L

  Leonce M.M.M.F Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huyo anatafuta mchumba mzuri! Je yeye ni mzuri?
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,635
  Trophy Points: 280
  Under 18 @ work! C.r.a.p!
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Unatafuta Mchumba mpole unataka kuanzisha KANISA?
   
 13. L

  Leonce M.M.M.F Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  haha haha haha haha haha.
   
 14. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  nilihisi tu haya yote yatatokea hakika kuna laana hapa mahala...inamaa hapa kubezwa ni lazima utake usitake,kwamba hiyo ndiyo namna ya kusaidiwa,hii forum ya kutafuta wachumba au ni ya uongo?,kwamba uanike shida zako za kimahusiano hapa kisha watu wakuchore weee..

  Ndugu wadau tubadilike sasa jf sio sehemu ya kurelax baaada ya kuchoshwa na kazi au kukoromewa na bosi wako (labda uka refresh kwenye forum ya jokes),Nadhani ni sehemu ya watu makini wenye kuwaza kabla ya kuongea,wenye ustaarabu wa kutosha,Ingependeza mkapachukulia hapa kama kikao cha kazi tena wewe ukiwa ka subordinate kadogo tu mbele ya mameneja (respect muhimu sana)
   
 15. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  tatizo hampendi kuambiwa ukwel,mnataka mdanganywe danganywe weee ndo naskia raha na kujiona mwapendwa,afu usiseme watu wengine bwana inaonekana unaniona me kama kituko vile
   
 16. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  maswal gan ya kuuliza hayo ndugu yangu kama we ni binti na una hizo quality just PM me
   
 17. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Baba enock nataka kuepukana na kero unazozipata mzee wangu (kutandikwa na mwiko)
   
 18. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Mchumba siyo Mke, right?
   
 19. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  umeona eee
   
 20. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tihi tihi....Nitarudi kwa maoni bdae...
   
Loading...