Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
I'm kind of confused if I'm at the right place or not. Let me say what I think is on my mind if this is the right place. I'm looking for a fiance that if God wishes, we become husband and wife...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamann... Mie mwenzenu umri unakaribia kunitupa...sasa nahitaji wife wa kuishi nae .. Yeyote mwenye contacts za msichana mzuri, tall, midweight (60-70kgs), any natural colour, educated ani PM...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
natafuta mchumba wa kuwa nae kiukweli nijibu
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 30. Ni mrefu kiasi cha 5' 9'. Nina umbo la kispoti. Nina elimu ya graduate. Nina busara na nimeokoka. Ni mwaminifu. Natafuta mchumba wa kumwoa mwenye sifa mzuri. Naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mi nahitaji mchumba kutoka Rwanda. Awe na sifa zifuatazo 1. Mcha Mungu 2. Anafahamu Kinyarwanda na lugha nyingine yoyote inaruhusiwa ingawa Kinyarwanda kitapewa kipaumbele. 3. Miaka 21-23...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Salaam wandugu, nina shosti wangu ambae anatafuta mchumba/mume.alikuwa masomoni kwa kipindi kirefu na amejikuta amemalizia muda wake mwingi masomoni na umri ukiwa umeenda sana.anapendelea mwanamme...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mi ni raia wa kawaida! Nina ndoto ya siku nyingi kuja kuoa mwanamke ambaye ni mwanajeshi. Umri wake usizidi miaka 26, awe tayari kuwa mke mwenye maadili ya kitanzania. Habari za sifa sifa na...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
namsaka mke wangu,yupo kwe hisia zangu.napata picha tu,kua ni mwepe,mrefu,na ana miaka 23 na hunijia kipicha ila sipati picha eeee,jamani popote alipo anipigie na hii mana mwaka mpya ndo huu...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Natafuta mchumba kokote aliko,mie ni mwanaume umri wangu mika 31..awe na miaka chin na hiyo na kuendelea.cyo rang,cyo dini wala elimu.cyo kabila coz hatuoani ili tuje kutambika..mwenye nia thabit...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta mchumba na baadae aje awe wife..mie ni mwanaume 31yrs ft 5.5 maji ya kunde.niko mwanza. elimu yake iwe ya kawaida tu..din yeyote..kabila pia sichagui coz hatuhtaj kutambika kwenye familia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau mimi ntaona faraja kama nitapata mpenzi mpya wakuanza naye mwaka yani 01/01/12 nakuwa naye kwa mwenye nia kama mimi pls PM! Vigezo sihitaji kwani kitendo cha kuwa JF nitosha wewe ni mjanja!
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nikijana mwenye umri wa miaka 24 nimfanyabiashara soko kuu la mwanza town,natafuta mchumba ambaya maskani yao awe ni wa mwanza ili nisihangaike kuonana nae na awe na umri miaka 2o-21 awe mweupe na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi Najaribu kujifunza kiswahili tangu mwaka uliopita. Nakaa Ulaya. Hapa sina nafasi ya kuzungumza na mtu anayesema kiswahili kwa kufasaha. Februari ijayo, wakati wa festival Sauti za Busara...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
dear girls im new in africa!! lking for a partner!! if u r interested please do mes me!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kakaz mi ni mdada wa kawaida tu ila ukishaniona utadhani mi wa ajabu, na natafuta marafiki wa jinsia ya kiume wa kuanzia miaka 31 na kuendelea....! sana sana wafanyabiashara na ambao wanaweza kuni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
awe na age 18-90 ,awe dar,also na true love an chek
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello, I am looking for a mature( 25-45) ladies for friendship- Not sex. She should be driving her own car- any. I am not a fun of dropping ladies off in any neighbouhoods. we should not...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Now at A-town nnajitahidi kwa nguvu za majicho yangu kuangaza apa na kule ili nipate rafiki ama marafiki wa kike ambao tutapata kubadilisha maujanja ya namna maisha yanavyoenda.Ebu nifurahisheni...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari, im calvin..aged 23 frm dar..kitaaluma mi ni mwalimu..nahitaji msichana mzuri na mkeli,ambae ataniweka waz kila ki2,ambaye hapend uongo,co mwenye fikra potofu..ambaye atanipenda jinsi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Mwaka huu nipo katika harakati za kutafuta mchumba katika mazingira ninayoishi na kwingineko, nimeona sio vibaya pia nikiweka wazi nia yangu hapa ili mwanamke yoyote...
0 Reactions
149 Replies
13K Views
Back
Top Bottom