kwani inakuwa vip | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwani inakuwa vip

Discussion in 'Love Connect' started by isamilo1982, Jan 19, 2012.

 1. isamilo1982

  isamilo1982 Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimekuwa msomaji mzuri wa jf mpaka nilipokata shauri kujiunga,lakini kinachonishangaza mwenzenu iv kwa nini m2 akisema anahitaji mwenza ndani ya hili jukwaa jamani mbona huwa anazodolewa sana?nilikuwa nataka namie nijaribu bahati yangu lakini mbona mwantisha munaniogofya du!:shock::shock:
   
 2. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Kwanza ww ni me au ke?
   
 3. isamilo1982

  isamilo1982 Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi ni she jamani!
   
 4. c

  crusmygo1 Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usiogope hayo maneno tu, fanya unachokiamini
   
 5. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  andika tu. haters gonna hate but mwisho wa siku utakutana na watu wengi na huenda kati ya hao watu utampata mpenzi wako...
   
 6. isamilo1982

  isamilo1982 Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante mwali kwa kuntia moyo.
   
Loading...