msinizodoe jamaniiiiiiiiiii

isamilo1982

Member
Jan 17, 2012
55
5
nahitaji mume mwenzenu,mi sijasoma ila mwaka jana nimefa qt na sasa naendelea na masomo ya sekondari mwaka huu nitafanya mtian wa fm 4 ila nafanya kazi kwenye ofisi moja kama muhudumu ni kazi inayonifanya niweze kujikimu.Nina mtoto m1 mimi ni mkristo nimeokoka,nina miaka 29.Aliye mkristo na ambaye ameokoka :washing:kikweli kweli na angalau awe na mtoto m1,sichagui rangi kabila lolote ila tu asiwe mzaramo.Aliye tayari namkaribisha.Sitanii japo najua wapo watakaonibeza
 
mengine yote kwangu ni SAWA tu isipokuwa hili la kuokoka limenichefua....ngoja waje waliokoka hasa kutoka kwa nabii mkuu wa manabii wote...sir. Mwingira.
 
Umbile lako, rangi yako, urefu wako ukoje? Mtoto wako kazaliwa mwaka gani? Hoby zako ni zipi na unapenda mwanaume wa namna gani?
 
Wazaramo wana tatizo gani tena?? tujulishane.....!!

Kila la kheri dada....zingatia sana hayo masomo....!
 
sema nataka mtoto..kama uko siliasi mimi ni kijana wa miaka 23 sina mtoto elimu yangu ya kawaida.kama umependa cv yangu nipm.
 
nahitaji mume mwenzenu,mi sijasoma ila mwaka jana nimefa qt na sasa naendelea na masomo ya sekondari mwaka huu nitafanya mtian wa fm 4 ila nafanya kazi kwenye ofisi moja kama muhudumu ni kazi inayonifanya niweze kujikimu.Nina mtoto m1 mimi ni mkristo nimeokoka,nina miaka 29.Aliye mkristo na ambaye ameokoka :washing:kikweli kweli na angalau awe na mtoto m1,sichagui rangi kabila lolote ila tu asiwe mzaramo.Aliye tayari namkaribisha.Sitanii japo najua wapo watakaonibeza

ni PM basi tusimwage mchele kwenye kuku wengi.
 
UNGEKUWA MLOKOLE KWELI USINGEKUWA NA MTOTO WA OFFSIDE...chezea ukuni weeeee

Watu wengine bana. .
Hapo aliposema alizaliwa akiwa mlokole ni wapi?

Na wewe mtoa mada kama hubagui kabila mbona lipo ulilosema hutaki? Kanisani mnafundishwa ubaguzi siku hizi ehhh?
 
nahitaji mume mwenzenu,mi sijasoma ila mwaka jana nimefa qt na sasa naendelea na masomo ya sekondari mwaka huu nitafanya mtian wa fm 4 ila nafanya kazi kwenye ofisi moja kama muhudumu ni kazi inayonifanya niweze kujikimu.Nina mtoto m1 mimi ni mkristo nimeokoka,nina miaka 29.Aliye mkristo na ambaye ameokoka :washing:kikweli kweli na angalau awe na mtoto m1,sichagui rangi kabila lolote ila tu asiwe mzaramo.Aliye tayari namkaribisha.Sitanii japo najua wapo watakaonibeza

Mzaramo si mtu?
 
Kanisani kwako hakuna wanaume wanaokufaa?Huku utatafunwa na mamba!
 
Huchagui kabila wakati ushasema hutaki Mzaramo!

Bado karibu nifike bei (hata kanisani hapakunitisha hivyo), nilipoona Mzaramo hatakiwi sasa mie Kiranga Cha Ngeda mtoto wa Mkuranga ingawa kweli mke natafuta lakini hapa ntashindwa.

Kwani Mzaramo si mtu?

Nimesononeka sana.

Halafu mzungu akibagua weusi huyu dada anaweza kulalamika?
 
kha,jamani watu mnajua kuzodoa duuuuuuuuuuuuuuuuuu,mimi sikuzaliwa na ulokole pia mtoto nimempa kabla sijaokokamzaramo ni m2 kama wengine ilo nalijua ila nimewahi kuwa na mzaramo na nilijutia hayo mahusiano,sijui lakini labda wazaramo wa siku za leo.
 
Hapo unapo ishi hamna wanaume mpaka uje huku.Au unataka uwapunguze member wa jf ushindwe na .....
 
Piga goti kwa Mungu ndio advert ya ukweli tuko wengi na wengine hatujazaa lakini tukubali mwanamke hajipigii mbiu bali anajinadi na bahati na nadhiri za Mwenyenzi Mungu zitimie. Usijali utachelewa lakini utapata mimi nina miaka 5 napiga goti najua ikifika atamleta tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom