Please I'm serious..

Graucho

Member
Nov 14, 2011
53
4
Am Marx from Moshi, nna miaka 23; Am taking bachelor in Doctor of Medicine at KCmc..natafuta mchumba kati ya 18-22, awe na elimu kuanzia form 4 na kuendelea, awe mwelewa kidgo na maisha,mwenye malengo na mipango mizuri ya maisha, sibagui dini wala kabila.aliye tayari ani PM ili nimpe details zangu nyngne au atumie email marxgraucho@yahoo.com...please am serious on it na km haupo ready ipotezee tu.!
 
Mke mwema anapatikana kwa kumwomba mungu sio kwenye mtandao kama huu, usije ukaoa cd ukaanza kuomba ushauri
 
Mkubalie tu bana,dogo ana ugwadu sana.

Sio ugwadu dada angu coz hilo sidhan km ni shida sana kwa mwanaume yeyote siku hizi..but what am looking for, is serious partiner relationshp sio sex relationship indeed.
 
mmh,miaka 23! Mbona unayawah maisha,ingekuwa ht 30 kidogo ningekusaidia kukupatia mdogo wangu tena ana sifa kama unazozitaka.
 
miaka 23 domo zege!! Kuna thread humu wazee wanalalamika wanaume sikuizi kama wanawake...wakiona wanawake wanainamainama wanauma kucha ni wapaka poda n.k
 
anataka kufanya experment za shule
sasa kakosa sampo ndo anatafuta.

Jamani tumpe ushikiliano.
mmh,miaka 23! Mbona unayawah maisha,ingekuwa ht 30 kidogo ningekusaidia kukupatia mdogo wangu tena ana sifa kama unazozitaka.
 
weka picha yako ya pasi poti saizi uliyopiga ukiwa umechuchumaa kwa msisitizo zaidi..
 
miaka 23 domo zege!! Kuna thread humu wazee wanalalamika wanaume sikuizi kama wanawake...wakiona wanawake wanainamainama wanauma kucha ni wapaka poda n.k

Nahc hujanielewa na ndo maana unanijaji hvyo ila sio mby ni mawazo yako..thanks
 
Back
Top Bottom