jamani mi naona umri unasogea kauli ile ya bado niponipo imeanza kunishinda sasa waungwana nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo:-
1. Asiwe mweusi sana maana mimi ni mweusi naogopa tusije...
Naitw dick-masomoni dodoma.Natafuta msichana atakayekuwa tayari kwa uchumba!awe na tabia njema na mcha Mungu!pia awe na sifa zifuatazo
1.umri 22-26
2.awe na elimu f4 na
kuendelea
3.mkristo...
Natafuta mchumba,awe anajiheshimu,mchangamfu asiwe mrefu sana yan awe size ya kati and any colour is ok.nipo chuo kikuu cha afya muhimbili nasoma na na tutor wa kampala university am jas 23 of age...
Salaam kwenu wanaJF, mi mvulana mwenye umri wa miaka 22, natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae, kubadilishana mawazo na uzoefu mbalimbali, sibagui kabila wala dini ila umri usipishane sana na wa...
Kwa uchumba na kisha ndoa nahitaji rafiki mwenye vigezo vifuatavyo:
1. Awe amehitimu form 4 au chuo chochote
2. Asiwe mnene wala mfupi sana
3. Asizidi miaka 28
---Kazi yangu ni mwalimu na...
Habari JF,Mi ni kijana wa umri wa miaka 32,natafuta Demu wa kupiga nae game(kujigy).Awe anajituma kiasi ktk game,awe wa kawaida tu sio lazima awe mzuri kiviilee!Awe na kautundu
flani ktk...
Ninatanguliza salamu kwa JF members,
Hivi karibuni nilikuja hapa nikiwa na shida ya kutafuta mwenza wa maisha. Ninashukuru kwani japo vigezo vilionekana kuwa vigumu lakini maombi yalikuwa mengi...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 31,nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili.elimu yangu ni shahada ya pili ninaishi dar. Ninatafuta mchumba hatimaye awe wangu wa milele,nimpende...
Nina miaka 25, mhandisi mwanafunzi niko mwaka wa mwisho. Natafuta mpenzi wa kike, ambaye atakua tayari kua mke baadae. Awe na umri usiozidi miaka 23, mkristo mwenye heshima zake na alie tayari...
am black in color not so short or tall but medium in height a bit tough with little obesity.Those who are interested with these criteria are mostly invited
Naitwa brian,asili ya kikenya!namtafuta mwali wa asili ya kibongo,awe na umri wa miaka kati ya 17-22.awe ni wa kufundwa unyago.aweze kuzungumza kiingereza na hasa kiswahili.asiwe na mtoto.tunaweza...
natafuta mchumba jamani awe mwaminifu kama obama,,,awe mvumilivu wa maneno kama lyumba...mchapa kazi kama kimei asiwe anasafir safiri ovyo kama rais kikwete...ajiandae kwalolote
Ninatamani one night stand na mdada yeyote wa JF.
Vigezo
Awe mrembo wa haja
Sitaki virungu japo kwa siku husika atakula good time
No feelings hata kidogo.
PM itumike
OTIS
Ni mwanaume rijali mwenye umri wa kuwa na mwenza ambaye pamoja twaweza kutengeneza maisha ya mme na mke japo watoto ni majaliwa
Ninamtafuta mwanadada ila asiwe mwela a.k.a askari,awe na umri...
Jamani salama?wakubwa shikamon..wadogo marahaba!vijana mambo vp?,jamani nilikuwa naomba kitu kimoja nilikuwa napenda kama ningepata mtoto wakike ambaye ataniliwaza kwenye mapenzi.mimi nina 21,ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.