Bado niko njia panda kuwa je ni kweli wanawake wanaona aibu kuelezea shida zao hadharani zaidi ya wanaume kwa nyakati hizi? Je, ni kweli wanaume wana wivu wa asili zaidi ya wanawake?
Ukiangalia...
Habar wana jf,mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27, ni mkristo,na ninasoma chuo kikuu cha UDSM,mwaka wq mwisho,hivo ninatafuta msichana mwenye umri kuanzia miaka 20-26, awe mkristo,mtii,na...
mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 30,natafuta girl friend mwenye sifa zifuatazo:
Umri asizidi miaka 40,
Dini yeyote
Kabila lolote
Awe mweusi na kama ni weupe sharti uwe wa asili...
Umri wangu kati ya miaka 21-25,kama kichwa hapo juu kinavyoeleza.Awe na umri kat ya miaka 18-20.sifa tabia nzur mengneyo hayana nafas kwngu ila tabia 2.
Nina miaka 33, elimu yangu ni chuo, mkristo na nimeajiriwa.
Natafuta binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 31, awe mkristo mwenye elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea, awe ameajiriwa au...
Iam a young woman employed as HRO in one of government institutions.
Im looking for a decent man aged 31 to 36 whom I can give my love forever.
Interested? PM for more information.
Natafuta mume wa umri tajwa hapo juu,mwanaume mwenye muonekano mzuri,mrefu asiye,ambaye hatumii kilevi chochote,mkristo,anayejiamini,hata kama utakuwa na watoto usijali tutashirikiana kulea.Mimi...
Ninatafuta mwanaume wa kuishi nae awe na miaka 35-45. Awe mrefu angalau fut 5"5, asiwe na kitambi, awe na elimu kuanzia form 6, awe na upeo wa kuchambua mambo mbalimbali ya kijamii (anaeweza...
Najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki atakayekuwa mchumba na hatimaye mume wangu. Awe mcha Mungu na mwenye upendo wa kweli. Pia anayejituma katika kutafuta maisha. Umri kuanzaia miaka 35 - 45...
Mimi ni kijana mtanashati na nimeoa na nina watoto watatu tu.
Mke wangu hataki tuendelee kuzaa anasema hapo ndio mwisho. Mi nataka watoto wengi iwezekanavyo maana uwezo wa kuwalea ninao. watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.