Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni mama wa watoto wawili nina umri wa miaka 31 ni mwajiriwa serikalini napenda kuwa wazi ktk jamvi kwani nimekuwa mpweke kwa muda mrefu hivyo basi nahtaji mwanaume mwenye sifa hizi -Awe...
3 Reactions
48 Replies
7K Views
Ni kijana wa kiume, nina umri wa miaka 26, elimu yangu ni ya chuo, nafanya kazi za kujitegemea, mrefu wa wastani, mweusi kwa rangi, umbo la wastani, Nahitaji msichana mwenye umbo la kawaida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wana Jf nampenda sana my class met lakini wala hani pend. Unajua ilikuaje 1st time am join in unvst of st,John i was met a girl who was love me a lot yani she was crazy over me but sudenly...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Asiwe chini ya miaka 25 na si zaid ya miaka 40.mwenye maadili na mapendo ya dhati.kwa maelezo zaidi nicheki hapa. Zenji14@hotmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
No matter which colour u ar o religion, what a care z ya ur self n ya.age 23-45 plz very important.halla me at 0713208553 kiddy_adams@hotmail.com and final let's share that place attached here frnd.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Napenda kua na mpenz mwenye umri usiozidi 19.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nipo serious katika swala hili na nimeamua kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwangu kutafuta mwenza wa maisha kwani maisha ya ubachela yana vishawishi vingi na masha ya kuruka ruka ni ya hatari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Poleni kwa majukumu wana JF. Tarishi hauawi, naleta ujumbe kama nilivyoupata toka kwa mlengwa. Anayetafuta mchumba ni mwanamke mwenye sifa hizi: - Ni mrefu wa wastani, maji ya kunde - Ana umri wa...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mhhh sijui nianzie wapi ila kwa kweli kumpata a man of your dream ni bahati, basi na mimi katika pitapita zangu zote huko nilipotoka nimeishia kuumia bado sijampata wa sifa na vigezo vyangu na...
3 Reactions
123 Replies
9K Views
closed
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Hebu wapendwa tusaidie kuwachangia walau hata kipost 1 hawa wanaotafuta wenza humu,, kwakweli wengine inakua kama post zao zinazaraurika kbisaaa khaaa tusaidiane basi wapendwa!!! cheers
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mm kijana miaka 25 natafuta mpenzi wa kike awe tayari tuishi zaidi ya mwaka kuchunguzana kwanza kabla kuoana, namba 0656179600 piga ili tuongee zaidi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta mchumba wa kuoa awe na umri ucozidi miaka 22.elimu kuanzia form4.i am serious kwa mabint warembo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za Muda huu wana JF, ni mara yangu ya kwanza kuweka post humu ila mie ni member wa Jf. Kilichonituma kuweka post humu ni hiki. Mimi ni kijana wa kiume niliyezaliwa miaka 24+. Natafuta...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Umri 18-25, kwa yeyote yule ambaye yuko tayari tuwasiliane throungh e-mail ndaukab@gmail.com for more information. Only 4 those who are serious, for jokes wewe pita tu usilete usumbufu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
napenda kutoa taarifa kwamba nimefanikiwa kupata mke mtarajiwa hapa jf kupitia bango ambalo niliweka,nilipokea pm nyingi na kupitia hizo malkia mmoja amepatikana.aidha napenda kuwatia moyo wote...
3 Reactions
82 Replies
6K Views
Nataman sana kua na Mchumba wa kike,then akiwa tayari hapo baadae tufunge ndoa,niko mwanza, Awe btn 18-24,na mkaz wa mwanza pia. Mi 24yrs,ni mwanasheria na pia ni mjasilia mali, Nimechoka kua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naishi Tanga town,natafuta binti wa Kitanga awe mdigo au m'bondei,miaka 25-30.Kwa urafiki,baadae ikiwa poa ndoa!Tuma e-mail:mpigaji@rocketmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, :cool: yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah, wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, :cool: yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah, wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Back
Top Bottom