Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Vigezo. Rangi-mweupe urefu-5.7 to 6.1 Dini-mkristo elimu-kuanzia degree Kabila-any umri-27-38 mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10...
7 Reactions
92 Replies
13K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25-38. Ni muajiriwa wa serikali, umbo langu saiz tu si mrefu sana wala si mfupi sana, ni mweusi kidogo. Natafuta mchumba ili baadae tufunge ndoa. Awe na uwezo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hey mambo vp, mimi ni kijana wa kiume mwenye age ya 25. Ni mhitimu wa kidato cha nne, pia mhitimu wa mafunzo ya Ufundi kwa fani ya Umeme. Kwa hiyo nimejiajiri mwenyewe. Ni mrefu wastani na mweusi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
i need a girlfriend & she should be from mombasa. Contact me through 0725036400
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Looking for a girl friend from mombasa. Akuwe serious.
0 Reactions
0 Replies
738 Views
I am a married men but not very happy with my ndoa. Nahitaji marafiki wa kike ambao wako tayari kunisaidia kupunguza hizi stress. If serious and mean very serious pm.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni handsome, mrefu , maji ya kunde. nimeajiriwa. natafuta mwanamkeke wa kuoa awe na tabia nzuri, awe mwenye mvuto. umri kuanzia miaka 25 - 30. awe majiliwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 41. Ninaye mtoto mmoja wa kike ana umri wa miaka 10. Tatizo ni kwamba mke wangu hashiki mimba nyingine. Tumeishaangaika vya kutosha kwa madaktari wa kawaida...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Helo how are you! Am a boy aged 23 am a unv student at Dar am realy looking for a girlfriend being living in dar age 18-23 for any wishes to be with me please send sms "pm" or you may sms me on...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninahitaji rafiki wa kike aliye mstaarabu umri kati ya miaka 18 hd 25,dini na kabila sio kikwazo ila awe mtu asiyjichubua au kutumia vipodozi hatarishi. mtu ambaye sio tegemezi na anayejituma...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Natafuta mchumba wa kuoa aliye committed and ready to be married Sifa awe medium size, mweupe na elimu ya first degree atleast nipo morogoro aliye tayari ani pm au tuwasiliane kwenye email...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza naomba kama aikuhusu usitoe comment na matusi pia kejeli sitaki, mwenye nia nzuri na mimi anitumie masiliaono maana serious ishu, kama wewe ni msichana mwenye tabia nzuri na unajiamini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
(This is serious) Mimi mwaume umri miaka 25 nipo Saut mwanza nafuta mpenzi mwenye tabia nzuri ambae tutakuja kuoana nikimaliza chuo mwakani, tuacliana kwa namba 0656179600
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Mimi ni mwaanaume nina miaka 26, natafuta mschana ambaye naweza kuanza nae maisha, tabia njema ndio kigezo changu kikubwa, awe mwenye mapenzi ya kweli. hapokuwa nimetendwa mara kadhaa lakin sina...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi naitwa j, nina miaka 30,jinsia united states, ninafanya kazi american air force, I am a us citizen, sikuzaliwa tz ila huwa natembelea sana huko. Nahitaji kujenga urafiki ili baaadae nioe...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wiki ijayo nakuja mtwara mjini,nitakuwepo huko kwa week 2 mpaka tar 28 may.Sasa kwa vile mm sio mwenyeji sana huko,ntahitaji company ya washkaji wa jf angalau tubadilishane mawazo ili nisiboreke...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Helo am a boy aged 21 am looking for a Girlfriend. For any one who is able contact with me through! 0654509732. Gud luky
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za leo wana JF. Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, mpole na mwenye hofu ya mungu, nina elimu ya chuo kikuu na nimeajiliwa. Natafuta mchumba mwenye umri wa miaka 19 - 23, elimu ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nina miaka 28 chubby 80kgs urefu wangu 160cm maji ya kunde nimeajiriwa na NGO napenda mzee kuanzia miaka 50-60 ambaye hana mke(mjane) awe na watoto wakubwa na wajukuu pia ni sawa tuu, kawe kanene...
0 Reactions
66 Replies
8K Views
Mimi naitwa Power G. Nina umri wa miaka 32, urefu futi 8 na umbo langu kama ninavyoonekana kwenye picha yangu hapo juu. Nina elimu ya msingi na kazi yangu ni mnyanyua vitu vizito. Natafuta binti...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom