Matani ya sizidi sana huwa makosa

ngapu

Member
Nov 18, 2012
41
0
Enzi za mitume kulikua na mtu mmoja alikua mfupi saaana alikua huenda msikitini kusali akitoka tu huwa viatu havioni wapo jamaa huvificha kila siku juu ya paa yeye akitoka nje ya mskt husubiri mtu mrefu ampachulie sasa siku1 yeye alivichukua viatu vya wote wanaomfichia kila siku akaviweka chini akaviwekea jabali kubwa sasa walipotoka msktn hawavioni viatu vyao wote wakatafuta saana mwisho wakaambiwa yule jamaa mfupi kaviweka pale katika jabali wakavitoa pale chini ya jabali wote wamekarika sana na wengine wamelani sana kwa hufichiwa wao siku1 tu hapo walipolani wakaambiwa matani yakizidi huwa haramu na mtume s a w
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom