natafuta rafiki wa kike mwenye asili ya pwani, yaani Tanga, mombasa, au zanzibar.....asiwe na umri zaidi ya miaka 22 anitumie email yake kwa mawasiliano zaidi
Kwa jina naitwa abel j,ni mkazi wa iringa,nina miaka 25,nimechoka kuwa peke angu kwa muda mrf sasa nataka niupate ubavu wangu,namtafuta mwanamke wa kawaida sana kimaisha,mpole,mkristo,mwenye...
MTOTO ni sexy na yuko hot kinyama na anatishia amani kwa uzuri baanaa asikwambia mtu. Hiki kitu kinakwenda kwa jina la Zenah Juma, ni bonge la toto lililowahi kushiriki kuwania taji la Miss...
Habari zenu ndugu!?..
Natafuta marafiki/rafiki jinsia yoyote iwe wakike au wakiume na mwenyeji/mkazi wa Zanzibar. Nimekuwa na hobbies za kibiashara na utalii kuhusu Zanziber pia sifa za mji na...
I need girlfriend mm nipo dar,umri wangu miaka 21 nnaemtaka umri kuanzia miaka 18-24 kwa mawasiliano 0656899091 au khaleedshaban@gmail.com,asanteni sana
Mimi ni kijana wa kitanzania umri wangu miaka 28 elimu yangu diploma nimeajiliwa, ninahitaji msichana mwenye elimu kuanzia diploma kuendelea awe anaishi Dar.
Awe ameajiliwa au kujiajili umri...
Wakuu kama heading ilivyojieleza hapo juu!Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nahitaji mchumba awe na umri wowote ule ili mradi awe yuko tayari kuishi kindoa.
Kwa mambo mengine tutaelezana pm...
Habari,
Ngojea niwaambie kitu, kwanza fahamu kabisa humu kwenye mitandao huwezi kumpata yule mtu ambaye ni mwema kwako bali ni wale wa kuwachezea na kuwaacha...kama ndio hivyo me ushauri wangu...
Natafuta rafiki wa kike.
1. Awe open minded
2. Mwenye hofu ya Mungu/ Mcha Mungu
3.Umri miaka 20 kuendelea
4. Awe anajiheshimu binafsi
Kwa aliye tiyari tuwasiliane PM.
Karibu sana,.
Nlikua na mpenzi wangu nampenda sana cha ajabu kaniacha nakuoa mwanamke mwingine na akuna nilichowahi mkosea alinbadirikia ghafla.
Nkakumbuka ule usemi wa unaempenda akupendi, tatizo ni bado...
Natafuta mwenzangu wa kuwa nae ila awe hapa UK niko mpweke sana na napenda rangi kama mimi sio mzungu. Alieko karibu anitumie kijiujumbe tuweze kuwasiliana na kusogeza maisha mbele.
Elimu yangu...
Natafuta Mchumba Wa Kike, Awe Na Umri Usiozidi Miaka 26, Awe Anajitambua Na Mkweli.
WASIFU WANGU
Nina Miaka 26, Mkristo, Mweusi Na Handsome Inshort Najikubali, Nampenda Mungu, Ni Muajiriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.