Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Abel james

Senior Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
103
Reaction score
8
Kwa jina naitwa abel j,ni mkazi wa iringa,nina miaka 25,nimechoka kuwa peke angu kwa muda mrf sasa nataka niupate ubavu wangu,namtafuta mwanamke wa kawaida sana kimaisha,mpole,mkristo,mwenye heshma,anaejua kupenda,elimu yoyote,awe anapatika sehemu yoyote ile tanzania na kabila lolote,alie tayali anicheki kupitia namba yangu ya cm 0763175935,sms zitajibiwa na kipaumbele kitatolewa kwa atakaekuwa wa kwanza
 
At 25 ushachoka? Hizi 'njaa'? cc Eiyer.
 
Last edited by a moderator:
Yule jimama vipi?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kwa jina naitwa abel j,ni mkazi wa iringa,nina miaka 25,nimechoka kuwa peke angu kwa muda mrf sasa nataka niupate ubavu wangu,namtafuta mwanamke wa kawaida sana kimaisha,mpole,mkristo,mwenye heshma,anaejua kupenda,elimu yoyote,awe anapatika sehemu yoyote ile tanzania na kabila lolote,alie tayali anicheki kupitia namba yangu ya cm 0763175935,sms zitajibiwa na kipaumbele kitatolewa kwa atakaekuwa wa kwanza

Kwa kifupi unatafuta demu umezidiwa na uchichi!
 
alafu mnarudi na kejeli baadae ooh wadada wa JF imepanda imeshuka tehe tehe tehe tehe kuna mmoja nusu aliwe 0713 kila la kheri na uwe makini
 
Mmmh mmeshasema huku hakuna wadada wazuri asa hizo post za kutafta wachumba pelekeni fb na instagram
 
Unataka upate jimama la kukujaza mapesa tena?
 
Nimekutumia meseji ya tafadhali niempesa,umeiona?
 
Mmmh mmeshasema huku hakuna wadada wazuri asa hizo post za kutafta wachumba pelekeni fb na instagram

Jaman sio ugomvi walosema ni wengne na aliehtaji ni mwengne
Msaidien kupata jiko
Huko instagram wanajiinsta kwelkwel kwa three 60 kasheshe kutananae live weee..
Bora huku unaanza bla kumjua mnaonana bdae
 
Hv ndo ww ulopata jimama😂😂😂 kaka mm yalo nikuta humu baada ya kutoa tangazo kama hli sihtaji tena kujisumbua cku moja ntatoa uzi kamj ripot ya yote nlo kumbana nayo ktk lile tangazo la uchumba
 
Hata stuli ushanunua kweli? Au ndo tutaanza kununua vijiko pamoja.....
 
haya sasa changamkieni fursa ya kufua boxer hiyo
 
Kila la heri Mkuu
 
Last edited by a moderator:
what..!! 25 years..!!!!!!!! ila ki kkijijini upo sawa mana unaeza jiopolea kimwana cha undereighteen. bado sana pambana kiume..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom